Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtevu awakingia kifua mamalishe dhidi ya bomoabomoa Temeke

3. Mtemvu akishangaa

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akitazama hali ilivyobaki baada ya bomoabomoa iliyofanywa na Jiji kwenye vibanda vya mamalishe katika mtaa wa Mbozi, Temeke.

Na Mwandishi Wetu

BOMOA Boboa ya vibanda vya mamalishe katika eneo la Viwanda la Mbozi, Temeke Dar es Salaam, limezua mtafaruku kufuatia mbunge wa jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu kuwakingia kifua mamalishe hao.

Pamoja na kuahidi kuchukua hatua ya kupambana kisheria na Halmashuri ya Jiji la Dar es Salaam, inayoendesha bomoa boboa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTEMVU AWAKINGIA KIFUA MAMALISHE DHIDI YA BOMOABOMOA TEMEKE

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akitazama hali ilivyobaki baada ya bomoabomoa iliyofanywa na jiji kwenye vibanda vya mamalishe katika mtaa wa Mbozi, Temeke. Mmoja wa Mamalishe eneo la Mtaa wa Viwanda la Mbozi, Temeke Dar es Salaam, Amina Saidi (kushoto) akilalamika mbele ya Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, mbunge huyo alipotembelea eneo la tukio kuona hali halisi… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda awakingia kifua wanavyuo wasiolipa ada

>Serikali imeviagiza vyuo vya elimu ya juu nchini kutowazuia wanafunzi wake kufanya mitihani hata kama hawajalipia ada, badala yake washikilie vyeti vyao hadi pale watakapolipa fedha wanazodaiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri wa Mkapa awakingia kifua wagombea urais

Mwanasiasa na mkongwe aliyewahi kuwa waziri katika Awamu ya Tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa, Njelu Kasaka amekishauri chama chake cha CCM kuwaruhusu wanachama wanaotaka kuwania urais kujitangaza.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wengi wajitokeza uzinduzi wa awamu ya pili Kupinga Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake Soko la Temeke Sterio Jijini Dar

 Ofisa Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana. Uzinduzi huo  upo chini ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi ‘Acha Lugha Chafu na Udhalilishaji Sokoni’ Unaendeshwa na Shirika Equality for Growth (EfG).   Mwenyekiti wa Mtaa wa Matumbi uliopo katika wilaya ya Temeke, Khatibu Lindi, akizungumza katika mkutano huo.  Mwenyekiti wa Soko la Temeke...

 

9 years ago

Michuzi

WENGI WAJITOKEZA UZINDUZI WA AWAMU YA PILI KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WANAWAKE SOKO LA TEMEKE STERIO JIJINI DAR ES SALAAM

 Ofisa Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana. Uzinduzi huo  upo chini ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi 'Acha Lugha Chafu na Udhalilishaji Sokoni' Unaendeshwa na Shirika Equality for Growth (EfG).  Mwenyekiti wa Soko la Temeke Sterio, Hamad Juma Mtemi, akizungumza katika mkutano huo. Wananchi wakiwa kwenye Uzinduzi huo.
KWA PICHA ZAIDI...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:SITTI MTEVU ALIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014,LILIANI KAMAZIMA AMRITHI.



Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) aliyechukua nafasi yake pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk.Sitti Abas Mtemvu amelivua taji hilo baada ya kuiandikia barua Kamati ya Miss Tanzania, November 5 mwaka huu, kuhusiana na uamuzi wake huo.Mrembo huyo alikuwa akikabiliwa na shutuma za kudanganya umri wake, jambo ambalo lilililazimu Baraza la Sanaa la Taifa, (Basata) kutokana na agizo la wizara  husika kufuatilia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SIKU KIPALULE: Mamalishe aliyeokolewa kuuza baa, uchangudoa

“KUNA watu wanafikiria kufanya kazi baa ni kupenda, hapana kama mimi niliifanya kazi hiyo na kuuza mwili kutokana na umaskini wa kipato niliokuwa nao na kukosa elimu itakayoweza kuniongoza katika...

 

10 years ago

Michuzi

Makundi 5 yang'ara ndani ya Temeke kwenye usaili wa kwanza Dance 100% 2015 Temeke

Usili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The Best Boys Kaka Zao na Team Makorokocho wameweza kushinda nafasi ya kuingia katika michuano kutoka wilaya ya Temeke.
Makundi haya yamechuana vikali na mengine 6 yanayokamilisha idadi ya makundi 11, UNI 6 Crew, GMF Crew, TWC, Dar Crew, Noma Sana Crew, na Viga Stars yaliyojitokeza kuwania nafasi hiyo katika usajili huo wa kwanza.


Mratibu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndugu Sophia Mjema akilakiwa na Dkt. Martha Kisanga, Meneja wa Kanda ya Pwani wa Shirika la Engender Health mara baada ya kuwasili kwenye eneo la Shule ya Sekondari Kibasila kwa ajili ya kufunga rasmi mafunzo ya siku 5 yaliyohusu mradi wa kuzuia mimba za utotoni katika Shule za Sekondari katika Wilaya ya Temeke tarehe 17.4.2015. Waliosimama katikati ni Ndugu Donald Siliva, Afisa-Elimu Sekondari, Wilaya ya Temeke na Dkt. Sarah Maongezi, Mkurugenzi wa Afya kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani