Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTEMVU AWAKINGIA KIFUA MAMALISHE DHIDI YA BOMOABOMOA TEMEKE

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akitazama hali ilivyobaki baada ya bomoabomoa iliyofanywa na jiji kwenye vibanda vya mamalishe katika mtaa wa Mbozi, Temeke. Mmoja wa Mamalishe eneo la Mtaa wa Viwanda la Mbozi, Temeke Dar es Salaam, Amina Saidi (kushoto) akilalamika mbele ya Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, mbunge huyo alipotembelea eneo la tukio kuona hali halisi… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mtevu awakingia kifua mamalishe dhidi ya bomoabomoa Temeke

3. Mtemvu akishangaa

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akitazama hali ilivyobaki baada ya bomoabomoa iliyofanywa na Jiji kwenye vibanda vya mamalishe katika mtaa wa Mbozi, Temeke.

Na Mwandishi Wetu

BOMOA Boboa ya vibanda vya mamalishe katika eneo la Viwanda la Mbozi, Temeke Dar es Salaam, limezua mtafaruku kufuatia mbunge wa jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu kuwakingia kifua mamalishe hao.

Pamoja na kuahidi kuchukua hatua ya kupambana kisheria na Halmashuri ya Jiji la Dar es Salaam, inayoendesha bomoa boboa...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri wa Mkapa awakingia kifua wagombea urais

Mwanasiasa na mkongwe aliyewahi kuwa waziri katika Awamu ya Tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa, Njelu Kasaka amekishauri chama chake cha CCM kuwaruhusu wanachama wanaotaka kuwania urais kujitangaza.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda awakingia kifua wanavyuo wasiolipa ada

>Serikali imeviagiza vyuo vya elimu ya juu nchini kutowazuia wanafunzi wake kufanya mitihani hata kama hawajalipia ada, badala yake washikilie vyeti vyao hadi pale watakapolipa fedha wanazodaiwa.

 

9 years ago

Habarileo

Mtemvu apinga matokeo Temeke

ALIYEKUWA mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu amefungua kesi ya uchaguzi namba 2 ya mwaka huu katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam akipinga matokeo ya ubunge katika jimbo hilo.

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU MISS TEMEKE 2014

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely. Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji… ...

 

10 years ago

Michuzi

MTEMVU ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MVUA TEMEKE

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Yombo Relini Yusufu Marko (kulia) akimwelekeza jambo wakati alipo fika katika maeneo hayo baada ya kuzunguuka maeneo tofauti na  Mbunge Abbas Mtemvu.
 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Abdon Kidege, akimwelekeza jambo Mbunge wa Jimbo hilo Abbas Mtemvu wakati wa ziara ya kutembelea na kuwaona wananchi waliopatwa na mafuriko ya Mvua zinazo endelea kunyesha Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na wananchi walio patwa na mafuriko maeneo ya Wailesi alipo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani