Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagombea hawa wa urais walipatikanaje?

Wengi wanaweza kueleza namna ambavyo CCM na Chadema waliweza kuwapata wagombea wao wa urais, lakini sio wote wanaweza kueleza michakato hiyo ilifanyikaje ndani ya vyama vya NRA, ADC, UPDP, TLP.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ndoto za wagombea urais

W agombea urais John Magufuli (CCM), Edward Lowassa (Chadema) na Anna Mghwira (ACT-Wazalendo), wanaendelea kuomba ridhaa ya Watanzania ili kuunda Serikali ya Awamu ya Tano, huku kila mmoja akija na sera anayoamini kuwa ni nzuri na tofauti  na mwenzake.

 

10 years ago

Habarileo

Mzindakaya alipua wagombea urais

Dk Chrisant MzindakayaSIKU chache baada ya utafiti wa taasisi ya Twaweza kuanikwa na kuonekana kupandisha joto la uchaguzi mkuu wa mwaka kesho, mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya ameibuka na kuwataka wagombea wa nafasi nyeti kama ya urais, kujikita katika siasa safi na za kisasa zaidi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM

Hiki ni kivumbi. Kati ya wagombea 42 waliojitokeza kuwania urais kupitia CCM, anatakiwa kubaki mmoja tu na mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu unafungwa kesho.

 

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TANZANIA

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam leo. Hata hivyo wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza kuhudhuria kwa sababu mbalimbali. Waongozaji wa mdahalo huo wakiwa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Ahadi za wagombea urais zinashangaza

AHADI lukuki zimetolewa na zinaendelea kutolewa kwa wapiga kura na wagombea urais wa Jamhuri ya M

Joseph Mihangwa

 

10 years ago

Mtanzania

Wagombea urais wavunja rekodi

Jakaya-Kikwete1NA MWANDISHI WETU
IDADI ya makada wanaotajwa kujitosa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) sasa inaweza kufikia 30, baada ya wengine wengi kutarajia kujitokeza kuanzia wiki ijayo, MTANZANIA Jumamosi limedokezwa.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili kutoka katika vyanzo mbalimbali vya habari ndani na nje ya CCM zinadai kuwa idadi hiyo inaweza kuongezeka na pengine hata kufikia wagombea 35, kutokana na baadhi ya makada waliohudhuria vikao vya juu vya chama...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara kuwabana wagombea urais

>Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, imejiandaa kuwabana wagombea wa urais kupitia mdahalo maalumu kwa lengo la kuwachuja ili kupata mtu atakayeweza kushughulikia kero zao na kukuza uchumi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mzaha uliotukuka wagombea 14 urais

Na Jabir Idrissa NITAMHESHIMU vilivyo Mwajuma Ali Khamis, mwanamke pekee aliyeingia kuwania wadhifa wa urais Zanzibar, lakini akakiri ufukara umemuangusha. Bi Mwajuma, ambaye sijajua ametokea wapi, amekua vipi, aliingia lini katika siasa mpaka kuthubutu kugombea, nitamheshimu […]

The post Mzaha uliotukuka wagombea 14 urais appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani