R.I.P WASANII WETU! KINACHOWAUA KWA KASI CHAJULIKANA
![](http://api.ning.com:80/files/dzn4ICuAlE5FaChOhOhFTCwfWJWfb34GYgjsEsCKhPt4IlQ*6beF8Ds44AowWiH-bAQpKIHdD5TMHCcdTB7iu0yP3X2sy2Ar/Front.jpg?width=650)
MWAKA 2014 unakatika, matukio ya kukumbukwa ni pamoja na wasanii Bongo kupoteza maisha katika mazingira yasiyotarajiwa, Ijumaa linakupa hatua kwa hatua.Kumbukumbu za haraka zinabainisha kuwa, tangu mwaka 2011 mpaka 2014, wasanii wenye majina makubwa na madogo wasiopungua 32 wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali. Recho Haule enzi za uhai wake. Inauma sana! Katika kipindi cha miaka mitatu kuwapoteza wasanii kwa kiasi hicho...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Jul
UCHAMBUZI: Kwa nini wasanii wetu wengi ni watoto?
9 years ago
Mzalendo Zanzibar21 Oct
Ujumbe kutoka kwa Wasanii wetu — Nani umpigie kura?
The post Ujumbe kutoka kwa Wasanii wetu – Nani umpigie kura? appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Siku ya Wanawake iwe mwanzo mpya kwa wasanii wetu wa kike
MACHI 8 ya kila mwaka ni Siku ya Wanawake Duniani, ambayo husherehekewa kote duniani, ambapo Watanzania wanaungana na wengine kuipokea siku hiyo chini ya kaulimbiu ambayo kwa mwaka huu ni...
9 years ago
Bongo509 Oct
Morali ya biashara na ujasiri wa kufanya miradi mipya kwa wasanii wetu ifufuliwe!
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Wasanii wetu na tamaa ya ubunge
NILIWAHI kuandika makala nyingi kuhusu sanaa na wasanii wetu hapa nchini.
Egbert Mtui
11 years ago
Mwananchi21 Jun
MAONI: Wasanii wetu kususa tamasha ni aibu
10 years ago
Bongo Movies09 Jul
Ni Wakati Wetu Wasanii Kusimama- Steve Nyerere
~~MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amefunguka kwa kusema kuwa wasanii wa filamu wana nafasi kubwa katika uongozi kwa ni kivutio cha wapiga kura kwa mantiki ni wakati wao kushiriki katika hatamu za uongozi, na kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.
"Ni kweli tunahitaji mabadiliko katika utawala lakini hilo litafanikiwa tu pale tutaposhiriki kujiandikisha katika Daftari la mpiga kura, kama nilivyosema badala ya kusimama badala ya mgombea sasa tunasimama...
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Tujenge utamaduni wa kuunga mkono wasanii wetu
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Wasanii wetu waonyeshe ubunifu katika kazi zao
TUKIWA mwanzoni mwa mwaka tasnia ya filamu imeingia mwaka 2014 ikiwa imepiga hatua kiasi kutokana na wasanii kuboresha kazi zao, hasa baada ya kujifunza kutoka kwa wengine ambao wamepiga hatua...