WASANII WA KIKE WAASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII
![](http://2.bp.blogspot.com/-YVaXL1eV6Hg/VmqyDxt9x9I/AAAAAAAAoyY/1n4a_VW_UF8/s72-c/1.jpg)
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leah Kihimbi akitoa hotuba katika Warsha ya siku mbili kuhusu wasanii wanawake kupinga ukatili wa kijinsia, mafunzo hayo yamefanyika ili kuhitimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na kusheherekea siku ya msanii Tanzania iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonyesho Tanzania Agnes Lukanga akitoa mada katika warsha ya siku mbili kuhusu wasanii wanawake kupinga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Watumishi watakiwa kufanya kazi kwa bidii, uwajibikaji na ushirikiano
Naibu Katibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Seth Kamuhanda aliyestaafu kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti...
10 years ago
Habarileo01 Apr
‘Tukatae umaskini kwa kufanya kazi kwa bidii’
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Dk Mary Nagu amewataka wananchi kuukataa umaskini kwa kufanya kazi kwa bidii ili kujenga taifa lenye watu wenye nguvu na uwezo wa kulitumikia.
9 years ago
Dewji Blog07 Jan
Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ajitambulisha kwa watumishi, awataka kufanya kazi kwa bidii
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil ambaye sasa ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, akiwaaga watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo pichani) katika mkutano uliofanyika katika Makao Makuu ya Wizara hiyo. Katikati ni Katibu Mkuu mpya wa Wzara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi Hassan Simba Yahaya.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil ambaye sasa ni...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AJITAMBULISHA KWA WATUMISHI – AWATAKA KUFANYA KAZI KWA BIDII
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Mwanahabari Frank kibiki awataka vijana kufanya kazi kwa bidii na kutumia fursa zinazotolewa na serikali
Mwanahabari Frank Kibiki akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Na Mwandishi wetu, Iringa
MWANAHABARI Frank Kibiki, aliyewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya wilaya kwa zaidi ya miaka 10.
Akizungumza na mtandao huu mwanahabari Frank Kibiki, alisema kuwa vijana wengi wamekuwa wakibweteka kwa kutojituma kufanya kazi na kuendelea kuilaumu serikali.
“Eti asubuhi unawakuta vijana wamekaa kwenye vijiwe wakizungumza siasa na kucheza mabao wakati...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-z6TWxWPqoHY/VoH-WjUW8PI/AAAAAAAIPF0/DBTsjgJSnKo/s72-c/3db1384b-0a1c-4f01-b51c-b6b6da09d9bb.jpg)
Dkt. Mpango awaasa Watumishi Wizara ya Fedha na Mipango kufanya kazi kwa bidii ili kukuza uchumi wa nchi.
10 years ago
Dewji Blog28 Dec
Wakazi wa mkoa wa Lindi watakiwa kushikamana na kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo — Mama Salma Kikwete
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EpX3FsPLOIg/VJ_hFA02RrI/AAAAAAAG6G8/i9C8MLmHXpY/s72-c/salma-pps.jpg)
WAKAZI WA MKOA WA LINDI WATAKIWA KUSHIKAMANA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUJILETEA MAENDELEO - MAMA SALMA KIKWETE
![](http://2.bp.blogspot.com/-EpX3FsPLOIg/VJ_hFA02RrI/AAAAAAAG6G8/i9C8MLmHXpY/s1600/salma-pps.jpg)
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa jana Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mitwero Stendi Kata ya Rasibura wilayani humo.
Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alisema mkoa wa...
10 years ago
MichuziWatumishi Katiba na Sheria waaswa kufanya kazi kwa malengo
Akizungumza na watumishi wa makao makuu ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Novemba 20, 2014), Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi amesema ushirikiano na upendo ni ngunzo muhimu za mafanikio katika taasisi yoyote.
“Watumishi wa umma, hasa tuliopo Dar es Salaam, tunatumia muda mrefu tukiwa kazini hivyo tunatakiwa tupendane na...