Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto akimbilia Korti Kuu

WAKATI Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikitarajia kukutana leo jijini Dar es Salaam, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amekimbilia Mahakama Kuu kuomba mkutano huo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Chenge akwaa kisiki Escrow, Akimbilia Mahakama Kuu.

Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, jana ‘alikwaa kisiki’ baada ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kutupilia mbali pingamizi lake aliloliwasilisha juzi kuzuia kusikilizwa kwa shauri lake kuhusiana na tuhuma za kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma.

Pamoja na mambo mengine, Chenge, ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, anatuhumiwa kwa kujipatia mgawo wa Sh. bilioni 1.6 kutoka kwenye fedha zilizochotwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Korti Yaizuia Chadema kumjadili Zitto

Mahakama Kuu Tanzania, imeizuia kwa muda Kamati Kuu ya Chadema kujadili ajenda zozote zinazomhusu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake, Zitto Kabwe hadi ombi lake la rufaa litakaposikilizwa.

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,  imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto, CHADEMA ngoma nzito Mahakama Kuu

WAKILI wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, Albert Msando na Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana walichuana vikali katika kesi namba 1/2014 iliyofunguliwa na Zito...

 

11 years ago

GPL

KUTOKA MAHAKAMA KUU BAADA YA HUKUMU YA PINGAMIZI LA ZITTO KUAIRISHWA

Baadhi ya wanachama wa Chadema wakitoa maoni yao baada ya hukumu ya pingamizi la Zitto Kabwe kuairishwa katika Mahakama Kuu jijini Dar mpaka kesho saa nane mchana. (Video na Jelard Lucas / GPL)

 

11 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA MAHAKAMA KUU WAKATI WA KUSIKILIZWA PINGAMIZI LA ZITTO KABWE

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala Dar es Salaam, SACP Marietha Minangi, wakati akiwasili Viwanja vya Mahakama Kuu. Mmoja wa kijana aliyekamatwa na askari baada ya kuleta fujo eneo la mahakama.…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA NJE YA MAHAKAMA KUU DAR KABLA YA HUKUMU YA ZITTO

Polisi wakiwadhibiti wafuasi wa Zitto na wale wanaompinga nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kabla ya hukumu kutolewa. Wafuasi wa Zitto wakiwa na mabango.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani