ZITTO AMETUSALITI
![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiKPzgO7gE6MZxk-rAI6Ino-9BeADo98ATbKpLD0ZoVrx8CjyIV1o4Z1S4VlkloWO8uXKB9iU7ApkAeTnq5vWRV1/w.jpg?width=650)
Stori: Elvan Stambuli Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Zuberi Kabwe ambaye ametangaza rasmi kuwania ubunge katika majimbo mengine, amelaumiwa na waliokuwa wapigakura wake waliodai amewaacha kwenye mataa, Uwazi Mizengwe limedokezwa. Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Zuberi Kabwe. Zitto ametangaza kwamba atagombea ubunge kwa tiketi ya chama cha ACT- Tanzania katika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Mar
‘Pandu Kificho ametusaliti’