‘Pandu Kificho ametusaliti’
>Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho amekiri kuwasilisha waraka kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Joseph Warioba na kupendekeza Zanzibar na Tanganyika kuwa na mamlaka huru, hatua ambayo imezua malalamiko miongoni mwa makada wa chama hicho ambao wamesema huo ni usaliti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
IPPmedia05 Apr
Pandu Ameir Kificho
IPPmedia
IPPmedia
The opposition camp yesterday scored some marks in the Constituent Assembly after the Assembly accepted to dissolve its steering committee. In a hushed announcement, Deputy CA Chairperson Samia Suluhu Hassan said that Chairperson Samuel Sitta ...
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Pandu Kificho akalia kuti kavuÂ
SIKU chache baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kubaini kuwa kina wakati mgumu katika mijadala na upitishaji wa vifungu vya rasimu ya katiba, kimeanza kutafuta mchawi. Tayari chama hicho kimeshamshika...
11 years ago
TheCitizen18 Feb
Pandu Kificho elected interim Constititional Assembly Chairman
11 years ago
MichuziMhe.Pandu Ameir Kificho ndiye Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba.
Bunge Maalumu la Katiba limemchagua Mhe. Pandu Ameir Kificho (pichani) kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba. Katika uchaguzi wa nafasi hiyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Mh.Kificho ameshinda kwa Kura 393 sawa na Asilimia 69.Washindani wengine, Bi.Magret na Mhe.Mahalu wamepata Kura 84 kila mmoja sawa na Asilimia 15.79%. Akitangaza matokeo hayo Katibu wa Bunge Dk Thomas Kashililah alisema Mhe. Kificho ameshinda baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NgkH9mVpusc/VUh89HtWMbI/AAAAAAAHVcI/AaAlXlxDemA/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
MHE. SPIKA PANDU AMEIR KIFICHO AONGOZA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTEMBELEA BUNGE LA ULAYA, BRUSSELS
![](http://4.bp.blogspot.com/-NgkH9mVpusc/VUh89HtWMbI/AAAAAAAHVcI/AaAlXlxDemA/s640/unnamed%2B(13).jpg)
11 years ago
Michuzi05 Aug
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiKPzgO7gE6MZxk-rAI6Ino-9BeADo98ATbKpLD0ZoVrx8CjyIV1o4Z1S4VlkloWO8uXKB9iU7ApkAeTnq5vWRV1/w.jpg?width=650)
ZITTO AMETUSALITI
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Pandu achaguliwa mwenyekiti wa muda #Bunge Maalum la Katiba