ZLATAN IBRAHIMOVIC MBIONI KUITOSA PSG
![](http://1.bp.blogspot.com/-bQlHbp0qcnI/VXiTrkqetGI/AAAAAAAACAo/q-lPhBKWUSg/s72-c/Zlatan-Ibrahimovicv2.jpg)
Zilianza tetesi za hapa na pale lakini hakukua na neno lolote linalomhusisha Zlatan moja kwa moja lakini hivi sasa mambo yamekua tofauti kidogo.Baada ya kushinda Quadruple na PSG, Zlatan anatafuta nafasi nyingine na kushinda Champions League kwenye misimu inayokuja. Kuhusu Super Swedish striker imeripotiwa kwamba hivi sasa yupo wazi kurudi AC Milan, ila ameacha tu nafasi kwa AC Milan kuishawishi PSG kuumuza kwao.
Kutokana na AC Milan kuwa na muwekezaji mpya kutoka Thailand kuna uwezekano...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka PSG, kisa? nahodha wa PSG Thiago Silva kaamu hivi ….
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden ambaye ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Sweden mara 10 Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka katika klabu yake ya Paris Saint Germain ya Ufaransa. Mshambuliaji huyo ambaye mkataba wake unamalizika mwezi June 2016 na anatajwa kutaka kuhama klabu hiyo. Sababu za Zlatan Ibrahimovic kutaka kuihama klabu ya PSG, ni kutokana na […]
The post Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka PSG, kisa? nahodha wa PSG Thiago Silva kaamu hivi …. appeared first on...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-EnjobnqH1_k/Vbno3o9gv1I/AAAAAAAAC9A/TCRDyINV73k/s72-c/Screen-Shot-2015-07-30-at-05.27.48.png)
VIDEO: ZLATAN IBRAHIMOVIC FANTASTIC TEAM GOAL IN A 2 - 0 WIN AGAINST MANCHESTER UNITED..
![](http://2.bp.blogspot.com/-EnjobnqH1_k/Vbno3o9gv1I/AAAAAAAAC9A/TCRDyINV73k/s1600/Screen-Shot-2015-07-30-at-05.27.48.png)
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Zlatan:Wachezaji wa Chelsea wana 'utoto'
11 years ago
GPL09 Apr
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 26.03.2020: Ibrahimovic, Smalling, Ceballos
5 years ago
BBCSwahili24 Feb
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu tarehe 24.02.2020: Tetesi za uhamisho wa Zlatan, Smalling, Mkhitaryan, Phillips, Kostic
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
Di Maria kujiunga na PSG
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
Di Maria ajiunga na PSG ya Ufaransa