Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zogo lazuka Dodoma, wajumbe waita ripoti ya Kamati No. 1 ‘maoni binafsi’ [VIDEO]

>Zogo kubwa limezuka Bunge Maalum la Katiba wakati wa uwasilishaji wa taarifa za kamati baada ya mmoja wa wenyeviti wa kamati hizo kudaiwa kukiuka kanuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAJUMBE WA KAMATI KUU WAKIJIANDAA NA KIKAO MJINI DODOMA MUDA HUU

Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mhe. Zakhia Meghji akizungumza na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu leo tarehe 22 Mei 2015 mjini Dodoma.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Jerry Slaa akishauriana jambo na Mhe.Wiliam Lukuvi ndani ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma. Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wenzake wa Kamati Kuu Profesa Makame Mbarawa...

 

11 years ago

GPL

MAONI YA WAJUMBE 'WALIO WACHACHE' KATIKA KAMATI NAMBA NNE ILIYOWASILISHWA NA MHE. TUNDU LISSU!

UTANGULIZI
Mheshimiwa Mwenyekiti,
Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (‘Rasimu’) ndizo msingi ambao Rasimu yote imejengwa juu yao. Wakati Sura ya Kwanza inagusa suala la muundo wa Muungano katika ibara moja tu kati ya ibara tisa, Sura yote ya Sita inahusu ‘Muundo wa Jamhuri ya Muungano.’ Suala la Muungano na hasa Muundo wake limetawala mjadala wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA KAMATI MBALI MBALI ZA BUNGE WAENDELEA NA VIKAO MJINI DODOMA

Mjumbe wa Kamati namba kumi na mbili ya Bunge Maalum la Katiba Goodluck Ole - Medeye akichangia jana mjini Dodoma wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta alipoitembelea Kamati hiyo kujionea kazi inayoendelea ya uchambuzi wa sura ya kwanza na Sita katika Rasimu ya Katiba mpya. Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba nne ya Bunge Maalum la Katiba, DKT Sira Ubwa Mamboya(kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta(kulia) alipoitembelea Kamati...

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati #Bunge la #Katiba zaongezewa muda, wajumbe waonesha wasiwasi [VIDEO]

MWENYEKITI wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho amesogeza mbele kuanza rasmi kwa vikao vya bunge hilo baada ya Kamati ya Kanuni kuomba kuongezewa muda zaidi kukamilisha kazi iliyopewa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kanuzi zazidi kutatiza wajumbe Bunge la Katiba, Kificho aipa Kamati jukumu la ‘kuleta maridhiano’ [VIDEO]

Mheshimiwa Kificho amejikuta katika wakati mgumu, akijaribu kuendesha Bunge lilotawaliwa na makundi  yenye mitazamo tofauti.

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWAONGOZA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA KUPOKEA TAARIFA YA MRADI WA UJENZI MAKAO MAKUU YA NIDA JIJINI DODOMA.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Aliyesimama) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wajumbe hao wamepokea Taarifa ya Mradi wa Ujenzi Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Katikati), akimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Salum Rehani (Wa kwanza kulia)...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KADIO AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU MAGEREZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA, WAJUMBE WAKAGUA UJENZI KIWANDA CHA USEREMALA, MSALATO DODOMA

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kabla ya Kamati hiyo kupokea taarifa ya Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Useremala cha Magereza, Msalato Mkoani Dodoma, leo. Wajumbe hayo walitoa ushauri wa kuboresha ujenzi wa Kiwanda hicho ambao tayari umenza. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.     Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani