Matokeo ya Utafutaji
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mt4o0riPyCU/Xu3sZ88XMOI/AAAAAAALuvA/LuwDKvYDmDsagTWSdpD8M2LEsIg_WFXigCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-20%2Bat%2B8.31.54%2BAM.jpeg)
PROF NDALICHAKO AKAGUA MAENDELEO UKARABATI CHUO CHA UALIMU MPWAPWA KILICHOGHARIMU BILIONI 2.8
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imesema imeamua kuwekeza kwenye katika uboreshaji wa miundombinu ya Taasisi za Elimu ili kuongeza fursa ya upatikanaji wa elimu kwa watanzania walio wengi.
Kauli hiyo imetolewa wilayani Mpwapwa, Dodoma na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako wakati alipofanya ziara ya kutembelea Chuo cha Ualimu Mpwapwa.
Katika ziara hiyo Prof Ndalichako amekagua maendeleo ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu katika chuo hiko ambao umegharimu zaidi ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-S7anPHgux_0/Xuryu2ePCdI/AAAAAAALuTw/OAzDTaXJV80TWmW2cof_SDOcHONBy3-_QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-18%2Bat%2B6.05.34%2BAM.jpeg)
MILIONI 800 ZATUMIKA KUKARABATI CHUO CHA UALIMU BUSTANI, WAZIRI NDALICHAKO AHIMIZA UZALENDO
Charles James, Michuzi TV
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako amewataka wanachuo nchini kuipenda Nchi yao na kuwa mabalozi wazuri katika kuitetea na kutangaza kazi kubwa inayofanywa na serikali katika kuwatumikia watanzania.
Prof Ndalichako ameyasema hayo leo wilayani Kondoa Mkoani Dodoma wakati alipofanya ziara ya kutembelea Chuo Cha Ualimu Bustani kwa ajili ya kukagua maendeleo yake na kuzungumza na wanafunzi wake.
Akizungumza baada ya kukagua miradi ya maendeleo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-vxBfHpZvjMg/XmI09SQ-DzI/AAAAAAALhew/TxQkiCvbdQgtH_RJaBNnQsXoZXJKOBNowCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
MAJALIWA AFUNGUA MAKTABA YA CHUO CHA UALIMU KOROGWE, AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA KOROGWE
Aliyasema hayo jana jioni (Alhamisi, Machi 5, 2020) wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya Mji Korogwe na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa TTC Korogwe akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Tanga.
Waziri Mkuu alisema uaminifu na...
5 years ago
MichuziRC Arusha Apongeza Uwekezaji wa Tanzania na Canada kwenye Elimu ya Ualimu
![](https://1.bp.blogspot.com/-pkSUHnbaXHg/XkaKAQXlNOI/AAAAAAALdWs/75wCLOQJZZAZTqUNHTaasyKXM_dnzzPSgCLcBGAsYHQ/s640/3.Naibu-Katibu-Mkuu-Wizara-ya-Elimu-Sayansi-na-Teknolojia-Dr.Ave-Maria-Semakafu-akifafanua-jambo-katika-mkutano-wa-tathimini-ya-mradi-wa-TESP..jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/2.Katibu-Tawala-wa-Mkoa-wa-Arusha-Richard-Kwitega-akifungua-mkutano-wa-wadau-wa-elimu-ya-ualimu.jpg)
Katibu-Tawala-wa-Mkoa-wa-Arusha-Richard-Kwitega-akifungua-mkutano-wa-wadau-wa-elimu-ya-ualimu.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/1.Picha-ya-Pamoja-ya-Viongozi-na-wadau-wa-elimu-ya-Ualimu-nchini-katika-mkutano-wa-tathmini-ya-mradi-wa-TESP..jpg)
Picha-ya-Pamoja-ya-Viongozi-na-wadau-wa-elimu-ya-Ualimu-nchini-katika-mkutano-wa-tathmini-ya-mradi-wa-TESP
…………………………..
Na Ahmed Mahmoud,Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameipongeza serikali ya Canada kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania...
10 years ago
GPLNECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA 6 NA UALIMU 2015
10 years ago
Habarileo23 Jun
Mafunzo ualimu
UKOSEFU wa fedha kwa mwaka 2013/14 na mwaka 2014/15, umeyafanya mafunzo ya vitendo kwa walimu nchini yatolewe kwa muda chini ya wiki nane, tofauti na maelekezo ya mtaala wa mafunzo ya ualimu unavyoelekeza.
10 years ago
VijimamboUNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU HAPA NCHINI
10 years ago
MichuziUNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU
Na Geofrey Adroph, Pamoja blog
UNESCO imeaandaa mafunzo ya uboreshaji wa elimu kwa walimu hususani katika somo la Tehama kwa vyuo mbalimbali vya hapa nchini vinavyotoa elimu ya ualimu. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania yamefanyika katika chuo cha Dar es Salaam Institute of...
10 years ago
Dewji Blog19 May
UNESCO watoa mafunzo ya Tehama kwa walimu wa vyuo vya ualimu nchini
Head of India Tanzania Center of Excellence in ICT (DIT), Dr. Amos Nungu akiwakaribisha wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), wakufunzi pamoja na walimu waliofika kwenye mafunzo ya elimu kwa njia ya mtandao.(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog).
Afisa mipango kutoka UNESCO, Bi Faith Shayo akimkaribisha Ofisa anayeshughulikia na masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmari (wa kwanza kutoka kushoto) wakati wa ufunguzi wa...
10 years ago
Dewji Blog19 May
Majaliwa afungua mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu, wakaguzi na wakufunzi wa vyuo vya ualimu
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM) – TAMISEMI (Elimu), Mhe. Kassim Majaliwa (MB) akifungua warsha ya mafunzo ya haki za binadamu kwa walimu wa shule za Sekondari, wakaguzi wa shule na wakufunzi wa vyuo vya ualimu katika hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana. Mafunzo hayo yameandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kwa ushirikiano na Wizara ya Elimu chini ya Mradi wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na kufadhiliwa na UNDP....