Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


10 THINGS NOT TO DO IN DUBAI

If you’re planning to take a trip to Dubai, one of the world’s most multinational cities and the Middle East’s tourism and business hub, there are a number of things to keep in mind. Visitors from the United States and Europe will find a culture much different than their own. We’ve compiled a must-read list of activities one must steer clear of to stay out of trouble and to avoid offending anyone.
1. DON’T CARRY, CONSUME OR SELL DRUGSWhile this is good advice in general, it can be even more...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai akutana na Mtendaji Mkuu wa Dubai Chamber of Commerce and Industry

Mhe. Omar Mjenga, amekutana na Mhe. Hamad Buamim, Rais na Mtendaji Mkuu wa Dubai Chamber of Commerce and Industry na kufanya naye mazungumzo.
Katika mazungumzo, wamejadiliana uwezekano wa kuwa na ziara ya kibiashara kwenda Tanzania, kwa makampuni na viwanda vilivyopo Dubai, ili kukutana na wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda Tanzania, ili kujionea na kuibua fursa za uwekezaji. Wamekubaliana ziara hiyo ifanyike mwanzoni mwa mwaka kesho na hivyo basi kuanza maandalizi mapema.
Mwezi Novemba,...

 

11 years ago

Michuzi

DRAGON MART YA DUBAI WAKUTANA TENA NA BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA

 Mhe. Omar Mjenga akiwa katika na chakula cha jioni (Dinner) na uongozi wa Dragon Mart ya Dubai, ambao wameonyesha nia kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara, kujenga uwanja wa maonyesho ya biashara wa kisasa utakaokuwa unafanya maonyesho mfululizo kwa mwaka mzima.
Nia yao pamoja na Wizara, ni kujenga kituo cha ubora( centre of excellency) kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika.

 

11 years ago

Michuzi

Mabalozi Wadogo Dubai wakutana na Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah.

 alozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, aungana na Mabalozi Wadogo wenzie wanaoziwakilisha nchi zao Dubai kwenda kukutana na kutoa salaam za Eid kwa Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah. Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah (walioketi) Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah wakifungua kinywa na mabalozi wadogo Sehemu ya mabalozi wadogo wakiwa kwenye hafla hiyoMhe....

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga Akutana na Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai.























Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha na Mhe. Yousef A. Rahmani Al Mahaira, Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai baada ya kikao chao leo ofisini kwa Mhe. Yousef. Kikao chao kilijadili maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu na Mtukufu Sheikh Ahmed Bin Saeed Ak Maktoum, Rais wa Idara ya Anga ya Dubai na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai akutana na akutana na Mkurugenzi wa Hospitali ya Iran ya Dubai

Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Iran ya Dubai, Dr. Asghar Fashad. Katika mazungumzon hayo, Mhe. Mjenga alimuomba Dr asghar kuangalia uwezekano wa kuwa na makubaliano kati ya hospitali yake na Ubalozi Mdogo kwa ajili ya kutoa huduma za afya kwa Watanzania kwa gharama nafuu ukilinganisha na gharama zake za sasa.
Baada ya mazungumzo na mashauriano ya muda wa saa moja, Uongozi wa Juu wa Hospitali,...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa Saudi Arabia Dubai

 Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga amekutana na Balozi Mdogo wa Saudi Arabia, Dubai, ambaye pia ndio Mkuu wa Mabalozi wadogo nchini humo (Dean of Diplomatic Corps)  Mhe. Emad A. Madani katika ofisi za Ubalozi Mdogo wa Saudi Arabia. Mhe. Mjenga alienda kumtembelea ili kuomba ushiriki wake pamoja na Mabalozi Wadogo wote kwenye kongamano la uwekezaji kwenye sekta ya Utalii nchini Tanzania, litakalofanyika tarehe 17 Disemba 2014. Mhe. Emad Madani amesema atashiriki vikamlifu...

 

11 years ago

Michuzi

ujumbe wa ubalozi mdogo wa malawi Dubai watembelea ubalozi mdogo wa tanzania Dubai

Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania,Dubai leo AMEKUTANA NA MHESHIMIWA GELINA, BALOZI MDOGO WA MALAWI, DUBAI NA UJUMBE WAKE KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MALAWI. Mheshimiwa Omar Mjenga  akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake. Kulia kwake ni Mheshimiwa Bi Gelina Balozi Mdogo wa Malawi. Na kulia kwa Mheshimiwa Gelina ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu (DAP) kutoka wizara ya mambo ya nje ya Malawi. Kushoto kabisa mwa picha ni Mhasibu Mkuu wa wizara hiyo na kulia...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai akutana na Balozi Mdogo wa Kenya, Dubai

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai,Mhe. Omar Mjenga (kulia) akisalimiana na Mhe. Kariuki Mugwe, Balozi Mdogo wa Kenya, Dubai wakati alipomtembelea ofisini kwake kwa mazungumzo. Wakiwa katika mazungumzo na kubadilishana mawazo kuhusu njia wanazotumia kuvutia wawekezaji na utalii. Mhe. Kariuki alimueleza Mhe. Mjenga njia wanazotumia kuwatafutia kazi wananchi wao. Kwa sasa Tanzania imeweka mkakati wa kuhakikisha Watanzania wengi wanapata kazi Dubai.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani