Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa Saudi Arabia Dubai
Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga amekutana na Balozi Mdogo wa Saudi Arabia, Dubai, ambaye pia ndio Mkuu wa Mabalozi wadogo nchini humo (Dean of Diplomatic Corps) Mhe. Emad A. Madani katika ofisi za Ubalozi Mdogo wa Saudi Arabia. Mhe. Mjenga alienda kumtembelea ili kuomba ushiriki wake pamoja na Mabalozi Wadogo wote kwenye kongamano la uwekezaji kwenye sekta ya Utalii nchini Tanzania, litakalofanyika tarehe 17 Disemba 2014. Mhe. Emad Madani amesema atashiriki vikamlifu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBalozi Mdogo wa Tanzania Dubai akutana na Balozi Mdogo wa Kenya, Dubai
11 years ago
Michuzibalozi mdogo wa ethiopia amtembelea balozi mdogo wa tanzania dubai
Katika mazungumzo yao wanadiplomasia hao walipata fursa ya kuzungumzia njia muafaka na mbali mbali za kufanya kazi kwa karibu ili kuhakikisha wanavutia utalii na uwekezaji katika nchi zao hasa kwa kuwavutia...
10 years ago
MichuziBalozi Mdogo wa Tanzania- Dubai akutana na Mtendaji Mkuu wa Dubai Chamber of Commerce and Industry
Katika mazungumzo, wamejadiliana uwezekano wa kuwa na ziara ya kibiashara kwenda Tanzania, kwa makampuni na viwanda vilivyopo Dubai, ili kukutana na wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda Tanzania, ili kujionea na kuibua fursa za uwekezaji. Wamekubaliana ziara hiyo ifanyike mwanzoni mwa mwaka kesho na hivyo basi kuanza maandalizi mapema.
Mwezi Novemba,...
11 years ago
MichuziDRAGON MART YA DUBAI WAKUTANA TENA NA BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA
Nia yao pamoja na Wizara, ni kujenga kituo cha ubora( centre of excellency) kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika.
11 years ago
MichuziBalozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga Akutana na Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai.
Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha na Mhe. Yousef A. Rahmani Al Mahaira, Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai baada ya kikao chao leo ofisini kwa Mhe. Yousef. Kikao chao kilijadili maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu na Mtukufu Sheikh Ahmed Bin Saeed Ak Maktoum, Rais wa Idara ya Anga ya Dubai na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege...
11 years ago
GPLBALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA, ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI MDOGO WA MALAYSIA.
11 years ago
Michuzi15 Jun
BALOZI MDOGO WA TANZANIA, DUBAI AFANYA MAHOJIANO NA CLOUDSTV WAKATI WA MKUTANO WA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA NYUMBA
10 years ago
VijimamboBalozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, afanya mahojiano na gazeti la Gulf Today kuhusu kuvutia uwekezaji na kukuza utalii Tanzania.
Ubalozi Mdogo umejiwekea utaratibu katika mpango wake wa mwaka, kuandaa kongamano za uwekezaji tatu kwa kila mwaka.
Ni imani kuwa mpango huu utasaidia kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo Tanzania na kuvutia idadi kubwa ya watalii...
11 years ago
MichuziBalozi adadi amtembelea balozi mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga