129,716 watahiriwa Tabora
KAMPENI ya tohara ya wanaume mkoani Tabora imefanikiwa kuwafikia watu 129,716 na imeleta mwamko wa kipekee kwa wanaume licha ya kufanyiwa tohara wanapata nafasi ya kupatiwa ushauri nasaha na upimaji wa VVU, uchunguzi na tiba ya magonjwa ya ngono na ushauri kuhusu afya ya uzazi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Sep
Wanaume watahiriwa kuepuka Ukimwi
SERIKALI wilayani hapa inaendelea kuwafanyia tohara wanaume wasiotahiriwa ikiwa ni moja ya mikakati yake ya kuzuia kuongezeka kwa maambukizi mapya ya Ukimwi kwa wakazi wake.
11 years ago
Daily News02 Feb
Accidents kill 129 people, injure 299 others in Singida
Daily News
A TOTAL of 129 people lost their lives in Singida Region and 299 others were injured due to various road accidents that occurred last year. Speaking on Saturday, Singida Regional Police Commander (RPC), Mr Geofrey Kamwela said that a total of 246 road ...
10 years ago
Mwananchi28 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : Mkoa wa Tabora hali si nzuri kwa Ukawa majimbo ya Uyui, Tabora na Igalula
Wilaya ya Uyui ni moja kati ya wilaya saba za mkoa wa Tabora na inaundwa na kata 29, vijiji 156 na vitongoji 688. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 wilaya hii ina jumla ya wakazi 396,623 kwa maana ya wanaume 196,446, wanawake 200,177 na kuna wastani wa watu 6.6 katika kila kaya.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6o6J2-cSbJ0/XlK5odK6uFI/AAAAAAALe7w/Q2Z0S7v58W0iRwfjmMxuvi8__ThrKKcLgCLcBGAsYHQ/s72-c/5ce63347-27d7-4bfd-826d-80c592474e51.jpg)
Maji ya Ziwa Victoria Kufika Tabora sio ndoto tena, ni kweli tumeyaona- Wananchi wa Tabora
![](https://1.bp.blogspot.com/-6o6J2-cSbJ0/XlK5odK6uFI/AAAAAAALe7w/Q2Z0S7v58W0iRwfjmMxuvi8__ThrKKcLgCLcBGAsYHQ/s640/5ce63347-27d7-4bfd-826d-80c592474e51.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/4-35.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania