Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


230 wauawa na IS Syria

Miili ya Watu zaidi ya 230 wanaelezwa kuawa na Wanamgambo wa Islamic State Syria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Raia 20 wauawa Syria

Ripoti kutoka nchini Syria zinasema kuwa takriban watu 20 wameuawa kufuatia mashambulizi ya angani yaliyoendeshwa na serikali

 

11 years ago

BBCSwahili

Mateka 50 wauawa Syria

Wapiganaji wanaoshukiwa kuhusishwa na kundi la Al-Qaeda wanadaiwa kuwauwa karibu mateka 50 waliokuwa wamewazuilia mjini Alepo

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya watu 60 wauawa Syria

Zaidi ya watu 60 wameuwawa, katika mashambulio kadhaa ya angani yaliyofanywa na majeshi ya serikali ya Syria.

 

9 years ago

BBCSwahili

13 wauawa kwenye shambulizi Syria

Mshambuliaji wa kujitoa mhanga ameshambulia vikosi vya jeshi la wakurdi kaskazini mashariki mwa Syria na kuwaua takriban watu 13

 

10 years ago

BBCSwahili

Askari na Waasi wauawa kwa Bomu Syria

Waasi nchini Syria na askari wa usalama wameripotiwa kuuawa katika mapigano katika mji ulio kaskazini mwa Nchi hiyo, Aleppo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 76 elfu wauawa nchini Syria 2014

Watu 76 elfu wameuawa katika mgogoro wa Syria katika mwaka 2014 pekee.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Syria. Wanajeshi wa Uturuki 33 wauawa katika mashambulio Idlib

Uturuki imeanza kulipiza kisasi kwa kuyalenga, kuyashambulia maeneo ya serikali ya Syria, vinasema vyombo vya habari vya Syria.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki

Onyo hilo la rais Erdogan linajiri baada ya wanajeshi wa Uturuki kuuawa na vikosi vya Syria mjini Idlib

 

5 years ago

BBCSwahili

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani