Mateka 50 wauawa Syria
Wapiganaji wanaoshukiwa kuhusishwa na kundi la Al-Qaeda wanadaiwa kuwauwa karibu mateka 50 waliokuwa wamewazuilia mjini Alepo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Mateka wa Sweden waachiliwa huru Syria
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Waasi Syria watumia mateka kuwa ngao
9 years ago
Bongo521 Nov
27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali
![2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182-300x194.jpg)
Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.
Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.
Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.
Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.
Kundi la...
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
230 wauawa na IS Syria
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Raia 20 wauawa Syria
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
13 wauawa kwenye shambulizi Syria
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Zaidi ya watu 60 wauawa Syria
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Askari na Waasi wauawa kwa Bomu Syria
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Watu 76 elfu wauawa nchini Syria 2014