40 YA MTOTO WA ROSE NDAUKA... MASTAA WASUSA!
![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0Yv0ao-cqJ0TeXnenPP4Y1CdpO5vmreg9MuCUh6J0qEmVHRxzWJedkox6n0rXtNeoGW*WhZAvV8f2stEXMGkTVqG/rose.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani UNAFIKI, kubaguana na upendo wa maigizo vimeendelea kuonekana miongoni mwa mastaa wa Bongo baada ya hivi karibuni kususa hafla ya kumtoa nje mtoto wa mwigizaji machachari, Rose Ndauka aitwaye Naveen. Tukio hilo lilishuhudiwa na kamera za Risasi Mchanganyiko, lilitokea wikiendi iliyopita, nyumbani kwa msanii huyo, Tandale – Tanesco, Dar, ambapo kichanga chake kilikuwa kimetimiza siku...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPtzIynzPuU2y5P3OoBtTcWktF1sL4-U50M*66Xma-Btcix2MAMbrYeSKlgyuttoEdPXCFYQet4W94VOj7QENgFB/japanies.jpg)
MASTAA WASUSA 40 YA JAPANESE
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzU*BQnXaPUMs524QpZ*1hYVfDJ8Xx80R*xrnyZ456KD8LYpVeXSZFAC4ttrw-2Kbql*Y3IogKmy4MCEUJ5uwZvc/wazazi8.jpg)
WAZAZI WASUSA MAITI YA MTOTO WAO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZZBD8YLdGNM--jthscytZ1DZwMgTeVLw4J7C*ksRkqGcDCksC4VD115XWeZF36O3WKcWlWP3ktG5y-A5Zaf9I88/ndauka.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA: SIWEZI KUZEEKA
11 years ago
GPLROSE NDAUKA ASAFISHA JIJI
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mvua ya Mkwamisha Rose Ndauka
Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.