5 arrested over ‘togwa’ calamity
Police are questioning five suspects in connection with the contaminated homemade beverage which landed over 300 people in hospital on Sunday.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
5 years ago
Mirror Online27 Mar
Calamity Liverpool keeper Loris Karius 'lined up for Premier League return' after Besiktas spell
11 years ago
IPPmedia09 Mar
Kikono: Veteran arrested, freed, arrested again poacher
IPPmedia
As the war against poaching continues around the world, a well known poacher at Kisaki village in Morogoro region has been arrested… with a weapon which believed to be government property. Reliable sources among the villagers said the hardcore ...
10 years ago
Mwananchi09 Oct
‘Ripoti ya sampuli ya togwa yenye sumu bado’
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Watu 270 walazwa kwa kunywa togwa
10 years ago
StarTV22 Dec
Watu wawili wauawa Mwembe Togwa Mtwara Vijijini.
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
Vijana wawili wameuawa kwa kupigwa na wananchi kwa tuhuma za ujambazi katika shule ya Msingi Mwembe Togwa wilayani Mtwara Vijijini.
Vijana hao wanaosadikika kuwa walitaka kuiba vifaa vya shule hiyo vinavyotumia mtandao kwa ajili ya kujifunzia na kutoa taarifa kutoka ngazi ya chini kupeleka wilayani wameuawa baada ya mlinzi wa Shule kutoa taarifa katika nyumba za jirani na shule hiyo ndipo wakazi wa eneo hilo walikusanyika na kuwaua.
Ilikuwa majira ya...
10 years ago
Mwananchi01 Oct
Waliodhurika kwa togwa Songea sasa wafikia watu 340
10 years ago
CloudsFM30 Sep
WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU
Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.
Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...
9 years ago
StarTV23 Nov
Watu watano walazwa hospitali ya Mbuyula Mbinga kwa Unywaji wa Togwa Yenye Sumu
Watu watano wamelazwa katika hospitali ya Mbuyula wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya kunywa togwa inayodhaniwa kuwa na sumu.
Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula Elisha Robert amesema wagonjwa hao ambao waliletwa hospitalini hapo wakidhaniwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu walibainika kuwa wamekunywa kinywaji aina ya Togwa ambacho kimesababisha waharishe.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula wilaya ya Mbinga Elisha Robati amesma aliweza kugundua kuwa homa hiyo ya...