‘Ripoti ya sampuli ya togwa yenye sumu bado’
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Mihayo Mskhiela amesema polisi mkoani humo haijapokea ripoti ya sampuli ya togwa na mabaki ya chakula iliyopelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili kupimwa baada ya kuleta madhara kwa watu zaidi ya 300.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Nov
Watu watano walazwa hospitali ya Mbuyula Mbinga kwa Unywaji wa Togwa Yenye Sumu
Watu watano wamelazwa katika hospitali ya Mbuyula wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya kunywa togwa inayodhaniwa kuwa na sumu.
Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula Elisha Robert amesema wagonjwa hao ambao waliletwa hospitalini hapo wakidhaniwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu walibainika kuwa wamekunywa kinywaji aina ya Togwa ambacho kimesababisha waharishe.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula wilaya ya Mbinga Elisha Robati amesma aliweza kugundua kuwa homa hiyo ya...
10 years ago
CloudsFM30 Sep
WATU 270 WALAZWA KWA KUNYWA TOGWA ILIYOSADIKIWA KUWA NA SUMU
Watu zaidi ya 270 wa Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wamelazwa wengi wao wakiwa na hali mbaya katika Zahanati ya Lyangweni na Hospitali ya Misheni ya St Joseph, Peramiho baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Tukio hilo lilitokea juzi mchana kwenye sherehe ya Kipaimara kwa mtoto Dickson Nungu (14) na kuzua hofu kubwa kwa wakazi wa kijiji hicho ambao wanaonekana kutoamini kilichotokea.
Wingi wa wagonjwa hao umesababisha zahanati hiyo kuelemewa na kiasi cha...
11 years ago
BBCSwahili07 May
Pombe yenye sumu yawaua 76 Kenya
10 years ago
Habarileo07 Jan
8 hoi kwa kunywa maziwa yenye sumu
WATU wanane wa familia tatu tofauti, wakiwemo wanafunzi wa shule ya msingi, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malkia wa Ulimwengu Puma wilayani Ikungi mkoani hapa baada ya kunywa maziwa yanayodhaniwa kuwa na sumu.
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Jela kwa kumtumia Obama barua yenye sumu
10 years ago
GPLVIFO INDIA: IDADI YA WALIOFARIKI KWA POMBE YENYE SUMU WAFIKIA 90
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fl5zqutucoeNXaXDkWC*PnGCOPB0bZ*5Ai5ud5l7bcArwjjbA1bKADVfhbjkRUPeJv1Puty9dECc9uvRK75vyK6ncf8bmfTp/OFM3.jpg)
MATUKIO YA UJAMBAZI BENKI; USALAMA BADO NI MDOGO! OFM YAJA NI RIPOTI MAALUM!
10 years ago
TheCitizen01 Oct
5 arrested over ‘togwa’ calamity
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Watu 270 walazwa kwa kunywa togwa