MATUKIO YA UJAMBAZI BENKI; USALAMA BADO NI MDOGO! OFM YAJA NI RIPOTI MAALUM!
![](http://api.ning.com:80/files/fl5zqutucoeNXaXDkWC*PnGCOPB0bZ*5Ai5ud5l7bcArwjjbA1bKADVfhbjkRUPeJv1Puty9dECc9uvRK75vyK6ncf8bmfTp/OFM3.jpg)
Stori: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata, Shani Ramadhani na Denis Mtima/ Ijumaa Wikienda WAKATI kukiwa na dhana ya baadhi ya wafanyakazi na wateja wa mabenki nchini kuvujisha taarifa za wateja wanaotoa kiasi kikubwa cha fedha kwa majambazi ambapo mwishowe wateja hao huvamiwa na kuporwa, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) imetinga ndani ya benki kadhaa jijini Dar na kugundua udhaifu mkubwa katika ulinzi, Ijumaa Wikienda limeshika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-vLMdtRZV632p4Mgf8i*Rc*Csf65dkGbI-sDGMlnpnUEgzi7w1RIpLYD8qw03YMBxUKbSoW*NjFYQj1KejDghsT/ofm.jpg?width=650)
MATUKIO KIBAO YA UJAMBAZI BENKI, HATARI KUBWA!
10 years ago
GPL14 Feb
10 years ago
Mwananchi02 Apr
Bado mnataka tuamini huu ni ujambazi?
11 years ago
GPL20 Mar
OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI
10 years ago
CloudsFM14 Aug
ASKOFU ATUPWA JELA MIAKA 32 KWA UJAMBAZI BENKI
Askofu wa Kanisa la Christian Fellowship Assemblies of God la Arusha, Jumanne Kilongola amehukumiwa kifungo cha miaka 32 jela baada ya kupatikana na hatia ya kupora Sh5.3 bilioni ndani ya Benki ya NBC, Tawi la Moshi Mei 21, 2004.
Katika hukumu hiyo iliyotolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kilimanjaro, Simon Kobelo, askofu huyo amehukumiwa kifungo hicho pamoja na raia watano wa Kenya baada ya kupatikana na hatia ya kufanya wizi huo kwa mtutu wa bunduki.
Kati ya...
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Equity benki yaja na ‘Eazzy 24/7’
KATIKA kupanua wigo wa kibiashara, Benki ya Equity Tanzania imezindua rasmi huduma ya benki kwa kutumia simu za mkononi ijulikanayo kama ‘Eazzy 24/7’. Eazzy 24/7 inayopatikana kupitia mitandao yote ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Wg5Q0hfgjqk/XsgGVH73DwI/AAAAAAALrUc/X2TlJzwW7qMaSXOndhTx83pqKfMFBUUQgCLcBGAsYHQ/s72-c/96343759-612b-47d2-9b03-f0388d5a91a4.jpg)
SERIKALI YAJA NA MIKAKATI MINNE YA KUIMARISHA USALAMA KATIKA USAFIRI WA MAJINI
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imefanya Uboreshaji wa Sheria na Mamlaka ya Udhibiti ya Usafiri Majini, Kuboresha shughuli za uokoaji, Miundombinu ya Bandari na Uboreshaji wa Mafunzo na Utoaji vyeti vya Mabaharia ikiwa ni hatua muhimu za kuimarisha usalama wa usafiri majini.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe jijini Dodoma wakati akieleza mikakati iliyochukuliwa na Serikali katika kuimarisha usalama wa usafiri majini nchini ikiwa ni miaka 24...
10 years ago
BBCSwahili11 Nov
Usalama mdogo, Beni, DRC
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Covenant yaja na huduma benki mtaaniÂ
BENKI ya Covenant inayomilikiwa na wanawake nchini imezindua huduma mpya ya benki mtaani yenye lengo la kuwawezesha wateja kuweka na kutoa fedha katika akaunti zao kupitia simu ya mkononi. Uzinduzi...