Bado mnataka tuamini huu ni ujambazi?
Wakati Rais Jakaya Kikwete akiingia madarakani mwaka 2005, ujambazi nchini ulikuwa umefikia kiwango cha kutisha, lakini leo hii tunaona umepungua.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fl5zqutucoeNXaXDkWC*PnGCOPB0bZ*5Ai5ud5l7bcArwjjbA1bKADVfhbjkRUPeJv1Puty9dECc9uvRK75vyK6ncf8bmfTp/OFM3.jpg)
MATUKIO YA UJAMBAZI BENKI; USALAMA BADO NI MDOGO! OFM YAJA NI RIPOTI MAALUM!
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Maximo: Mnataka ubingwa, badilikeni
5 years ago
BBCSwahili11 Apr
Virusi vya corona: Ni Kwanini baadhi ya makanisa bado yanafunguliwa msimu huu wa Pasaka?
10 years ago
Bongo Movies13 Jun
Johari: Nina mtoto sawa, mnataka kumjua baba yake ili iweje?
Staa wa Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ amedai kushangazwa na watu wanaoshindwa kufanya mambo yao binafsi na kuanza kufuatilia maisha yake pamoja na mtoto wake.
ohari ameiambia Bongo5 kuwa anaishi kwa furaha na mwanae licha baadhi ya watu kumfuatilia na kutaka kujua mtoto wake amezaa na nani kitu ambacho hapendi kukiweka wazi kwa sasa.
“Sidhani kama kuna mtoto ambae anakosa baba,” amesema muigizaji huyo.
“Siku nitapokuwa tayari nitamweka wazi baba yake ili waridhike. Kwa sababu...
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tahariri: Mimba ya Aunt Ezekiel bado bado sana, blogs zitafute ukweli kwanza na sio kukurupuka
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Huenda nawe umezisikia taarifa zilizozagaa kwenye mitandao yaa kijaamii na kwingineko juu ya kuwa star mwenye mvuto wa asili anayetikisa Bongo kwa filamu mbalimbali, Msanii wa kike, Aunt Ezekiel ambaye kwa sasa ni mjamzito, amejifungua?.
Kwa taarifa za uhakika kutoka katikaa moja ya mtandao wa kijamii wa Global Publisher inayokubalika hapa nchini (http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/aunt-ezekiel-akanusha-taarifa-za-kujifungua-asema-video-ya) ...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-p8IGMTG-NEo/VF9EN_aigqI/AAAAAAAGwJk/V8cabeJHRPw/s72-c/1f11Uganda-Cranes.jpg)
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Maximo kamili, Phiri bado bado
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-LVtCTa5sHAM/VZQmWbysgxI/AAAAAAAAFqU/gfZ2698-B2U/s72-c/makongoro%2Bnyerere.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Mtuhumiwa wa ujambazi auawa
MTU anayetuhumiwa kuwa jambazi sugu mkazi wa Kitongoji cha Chanji, mjini Sumbawanga, amekufa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira kali. Mtuhumiwa huyo Denis Gagala maarufu kama ’Babyloon’ (31) anadaiwa kuwa...