Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usalama mdogo, Beni, DRC

Baada ya miezi kadhaa ya utulivu, mauaji ya watu wasio na hatia, yamerejea tena mashariki mwa DRC.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Watu wa Beni, DRC, waandamana

Watu wa Beni, mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo, waandamana kutaka wapewe ulinzi zaidi baada ya mauaji kutokea huko

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu kadha wauwawa karibu na Beni DRC

Shambulio jengine lafanywa mashariki mwa Congo na watu 30 wauwawa

 

10 years ago

Vijimambo

JWTZ YAFAFANUA KILICHOTOKEA BENI, MASHARIKI MWA DRC


Kaimu msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, (JWTZ), Meja Joseph Masanja, akizungumza makao makuu ya Jeshi, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam, Alhamisi Novemba 13, 2014JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekanusha vikali taarifa za vyombo vya habari vya kimataifa kuwa, wanajeshi wake wanaoshiriki katika vikosi vya Umoja wa Mataifa chini Congo, vimewapiga raia wa Beni.Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya JWTZ, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam, leo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hali ya usalama DRC imeimarika

Mjumbe maalum wa Marekani katika Maziwa makuu, amesema hali inaendelea kuimarika, baada ya waasi wa kundi la M23 kukubali kusalimisha silaha mwezi Novemba.

 

10 years ago

GPL

MATUKIO YA UJAMBAZI BENKI; USALAMA BADO NI MDOGO! OFM YAJA NI RIPOTI MAALUM!

Stori: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata, Shani Ramadhani na Denis Mtima/ Ijumaa Wikienda
WAKATI kukiwa na dhana ya baadhi ya wafanyakazi na wateja wa mabenki nchini kuvujisha taarifa za wateja wanaotoa kiasi kikubwa cha fedha kwa majambazi ambapo mwishowe wateja hao huvamiwa na kuporwa, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) imetinga ndani ya benki kadhaa jijini Dar na kugundua udhaifu mkubwa katika ulinzi, Ijumaa Wikienda limeshika...

 

10 years ago

Habarileo

Nguli wa utangazaji Beni Kiko afariki dunia

ALIYEKUWA mwandishi wa habari na mtangazaji wa Redio Tanzania (RTD) sasa TBC, Ben Kikoromo (72) maarufu kama Beni Kiko, amefariki dunia juzi usiku katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa figo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani