Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


60 wanusurika kufa mtoni

Mkuu wa wilaya ya Busega, Paul Mzindakaya
Zaidi ya abiria 60 waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Mwanza Coach, kwenda Musoma mjini wamenusurika kufa baada ya tairi la mbele kupasuka na kutumbukia mtoni.

Tukio hilo limetokea juzi na kulihusisha basi lenye namba za usajili T714 BJB ambalo baada ya tairi kupasula liliacha kuacha njia.

Mkuu wa wilaya ya Busega, Paul Mzindakaya, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu tisa walipata michubuko kidogo baada ya basi hilo kutumbukia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Njombe:Basi la abiri latumbukia mtoni,Abiria wanusurika kifo

Na Amiri kilagalila,Njombe

Watu 13 wamenusurika kifo baada ya basi la abiri lenye namba za usajili T 802 DEZ kampuni ya Dosmeza linalofanya safari zake Njombe-Iringa kuacha njia na kutumbukia mto Ichunilo June 11,2020 majira ya saa moja na dakika hamsini,baada ya kumaliza mteremko mkali wa Ruhuji mjini Njombe.

Akizungumza mara baada ya kupokea majeruhi wa ajali,Mganga mfawidhi wa hospitali ya mji wa Njombe (Kibena) Dkt,Alto Damas Mtega,amesema walipokea majeruhi 13 na kuwapa huduma ya...

 

11 years ago

GPL

WATU 200 WANUSURIKA KUFA

Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura.

 

10 years ago

GPL

WANUSURIKA KUFA KWA AJALI MKURANGA

Gari aina ya TATA lenye namba za usajili SU 39761likiwa limehalibika vibaya baada ya ajali hiyo kutokea.…

 

10 years ago

GPL

WAWILI WANUSURIKA KUFA KWA AJALI SINZA

Hivi ndivyo ilivyokuwa eneo la tukio. WATU wawili akiwemo dereva wa pikipiki na abiria aliyekuwa amebebwa wamenusurika leo kufa baada ya pikipiki yao kugongwa na basi la UDA maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam. (Habari/Picha: Gabriel…

 

10 years ago

GPL

WATATU WANUSURIKA KUFA KWA AJALI MWANZA

Mwonekano wa gari hilo baada ya kupata ajali.…

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wa kike wanusurika kufa kwa moto

ZAIDI ya wanafunzi 96 wa kike wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari African Muslim iliyopo mjini Moshi, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wakilala, kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana mjini hapa.

 

10 years ago

GPL

WANUSURIKA KUFA KWA AJALI UHASIBU TEMEKE

Gari aina ya Toyota Prado lenye namba za usajili T399 BKU likiwa uvunguni mwa roli.…

 

11 years ago

GPL

WATU WATATU WANUSURIKA KUFA KWA AJALI DAR

Mchina aliyekuwamo kwenye gari akizungumza kwa simu, pembeni yake ni askari wa usalama barabarani. Dereva wa Opa ambaye hakufahamika jina lake mara moja.…

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Saba wanusurika kufa kwa tuhuma za kishirikina

>Watu watatu wamenusurika kuuawa, huku nyumba zao saba zikiteketezwa kwa moto katika Kitongoji cha Mereshi, Kijiji cha Robanda wilayani hapa Mkoa wa Mara, kwa tuhuma za kumtorosha kishirikina kijana mmoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani