Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AARIFA YA SHEREHE TAREHE 27 DISEMBA 2014.


Ndugu Watanzania, Matarajio yangu natumai munaendelea na afya njema. Kwa niaba ya uongozi wa Jumuiya ya Tanzaseattle, napenda kuwatangazia pamoja na kukuombeni kuhudhuria rasmi kwenye sherehe itakayo jumuisha matukio matatu muhimu kama ifuatavyo: 1. Sherehe ya Uhuru wa Tanganyika2. Sherehe ya Krismas3.Sherehe ya Makabidhiano majukumu kwa uongozi mpya. Tarehe rasmi ya sherehe ni 'December 27th, 2014'Muda rasmi wa sherehe  ni kuanzia Saa 11 jioni hadi riamba(5pm - sunrise)Anuani ya sehemu ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

sherehe za miaka hamsini ya Jamhuri ya Muungano waTanzania kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 25 hadi 26 Aprili, 2014 nchini Ujerumani

KARIBUNI WOTE
Kama mnavyofahamu kuwa siku ya tarehe 26 Aprili, 2014 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka hamsini (50), kwa lugha nyingine ni “Golden Jubilee”.
Katika kuadhimisha sherehe hii kubwa na muhimu, Ubalozi umeamua kuandaa Kongamano la Biashara (Investment Forum) kwa siku ya tarehe 25 Aprili, 2014 pamoja na siku ya terehe 26 Aprili, 2014 kuwa siku ya mdahalo (Scholars' day) mjini Berlin, Ujerumani. 
Madhumuni makubwa ya Kongamano hili ni kuwatangazia na kuwaonyesha...

 

11 years ago

BBCSwahili

Nelson Mandela kuzikwa tarehe 15 Disemba

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kuwa Hayati Nelson Mandela atazikwa tarehe kumi na tano mwezi Disemba katika moa wa Eastern Cape

 

10 years ago

GPL

HOTUBA YA JAKAYA KIKWETE KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA KITAIFA, TAREHE 14/10/2014 – MKOANI TABORA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora siku ya jana. Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (MB), Waziri wa Habari,        Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo; Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji,       Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto –...

 

9 years ago

Michuzi

UTARATIBU WA KUSHIRIKI ZOEZI LA KUFANYA USAFI SIKU YA TAREHE 9 DISEMBA, 2015 MKOA WA DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alitoa agizo la kumtaka kila mtu kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya Uhuru tarehe 9 Disemba, 2015 kwa kushiriki zoezi la kufanya usafi wa mazingira. Katika Mkoa wa Dodoma, zoezi hilo litahusisha kazi za usafi wa makazi na maeneo ya shughuli mbalimbali, kufagia barabara za lami na vumbi, kufyeka nyasi kandokando mwa barabara na katika maeneo ya wazi na jamii, kuokota  takataka  (mifuko ya Rambo) na kuzibua mitaro ya maji ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani