Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abdulrahman Kinana

Na Abdulrahman Kinana “ Mwaka 2013 wanawake wawili wakiwa ni waalimu wa kujitolea, Katie Gee na Kirstie Trup, wakati huo wote wakiwa ni matineja- walifikwa na shambulio la kutisha wakiwa Zanzibar, ambayo ni sehemu ya Jamhuri […]

The post Abdulrahman Kinana appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Namuogopa Abdulrahman Kinana — Absalom Kibanda

349

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye wakiendelea na safari pamoja na wananchi kwenye ziara ya kukagua miradi mbalimbali mkoani Tanga.

Na Absalom Kibanda

Kwa mara nyingine tena, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandika historia mpya baada ya kufanya mabadiliko mazito katika safu yake ya uongozi wa kitaifa.

Ni mabadiliko mazito si kwa sababu tu yamefanywa na CCM ambayo imekuwa na rekodi ya kubadili sura za watendaji wake kwa namna na kwa njia tofauti, bali kutokana na ukweli...

 

10 years ago

Michuzi

NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ZIARA RUFIJI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia moja kati ya miti 19,270 ya korosho iliyoharibika  alipokwenda kukagua shamba la hekali 1000 katika Kijiji cha Magawa wakati wa ziara yake wilayani Mkuranga ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Kinana akiongoza kukagua shamba la mikorosho iliyoharibika na kuwafanya wananchi wa Kijiji cha Magawa kuwa masikini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kufichua mafisadi salama ya CCM- Abdulrahman Kinana

>Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema kitu kitakachokiokoa chama hicho ni wanachama kutowafumbia macho wezi na mafisadi akisisitiza kuwa kulindana na upole kutakiangamiza chama hicho kikongwe.

 

10 years ago

GPL

ABDULRAHMAN KINANA: MUDA WA KULINDANA HAUPO TENA‏

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ali Mtopa akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara  mjini Lindi wakati akimkaribisha Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika uwanja wa michezo wa Ilulu mjini Lindi wakati akihitimisha ziara yake mkoani humo leo kabla ya kuendelea na ziara mkoani Mtwara kesho.… ...

 

10 years ago

Michuzi

NDUGU ABDULRAHMAN KINANA SHAMBANI KIJIJI CHA KWEMNYEFU

1
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima na kupanda mahindi katika shamba kijijini Kwemnyefu Kata ya Mpapayu wilayani Mheza mkoani Tanga pamoja na wananchi wakati alipotembelea shamba hilo na kukagua shughuli za kilimo cha mkono, Katika shughuli hiyo katibu mkuu huyo ameshirikiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM Arusha - Komrade Abdulrahman Kinana

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akishiriki kupaka rangi nyumba ya mganga wa hospitali ya kijiji, iliyojengwa na wanakijiji cha Bulati. Wengine ni mbunge wa Ngorongoro,
Kaika Ole Telele (kulia) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole.
NAPE akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Nainokanoka.

KINANA akizungumza na Nape kabla ya kuhutubia wananchi wa kijiji cha Nainokanoka, kilichoko wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha.

KINANA akikaribishwa kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Abdulrahman Kinana: Wafuasi wa Chama cha CUF wako kifungoni

4

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wana CCM wa maskani ya Mnarani Wilaya ya Micheweni na kuzungumza na wanachama wa maskani hiyo, Awali wakisoma taarifa yao mbele ya Katibu Mkuu wa CCM wanamaskani hao. Wamesema walihama kutoka Chama cha CUF na kujiunga na CCM lakini toka wamehama kutoka chama hicho wamekuwa wakinyanyaswa sana na kuzuiwa kufanya kazi ya uvuvi ikiwa ni pamoja na kutishiwa maisha na kuitwa makafiri na wafuasi wa CUF jambo ambalo linawasikitisha...

 

10 years ago

GPL

ABDULRAHMAN KINANA KATIBU MKUU WA CCM AENDELEA NA ZIARA RUFIJI‏

Katibu Mkuu wa CCM  Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Juma Abeid Diwani wa Kata ya Magawa wilayani Mkuranga wakati alipotembelea shamba la Mikorosho lenye hekari 1000 ambapo mikorosho inayokaribia elfu 20 imeharibika vibaya baada ya kupata ugonjwa unaonyausha mikorosho hiyo , Diwani huyo amesema wananchi wa kata hiyo wako katika hali mbaya kwakuwa zaidi ya miaka minne sasa hawajavuna chochote na maisha yao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani