ACB yakusanya watengeneza bidhaa Dar
Benki ya Biashara ya Akiba (ACB) ya jijini Dar es Salaam inatarajia kuwakusanya watu wanaotaka kujifunza utengenezaji bidhaa kwa kushirikiana na taasisi inayotoa elimu ya ujasiriamali ya TZAID.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-R_vGc-QsXzs/VSfYsyMbBrI/AAAAAAAHQIA/-wV8LBPhP90/s72-c/unnamedM.jpg)
TRA YAKUSANYA ZAIDI YA SH.BILIONI 258 KWA FAINI NA KODI ZA BIDHAA ZA MAGENDO
MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita imekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 258 zilizotokana na faini ya bidhaa mbalimbali za magendo.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam,amesema TRA inaungana na jeshi la Polisi katika kukamata watu wanaojihusisha na usafirishaji na uuzaji wa ...
11 years ago
GPLPSPF, ACB KUDHAMINI BONANZA LA JOGGING DAR LIVE JUMAPILI HII
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Watengeneza noti bandia wanaswa Dar
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Suleiman Kova.
Na Mwandishi wetu
Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa limefanikiwa kukamata kundi la watu saba wanaotengeneza noti bandia za Dolla milioni moja na sitini na nne ambazo ni sawa na sh bilioni moja milioni mia saba na mbili na laki nne.
Kamanda Kova alisema tukio hilo lilitokea mnamo Agosti 4 huko Sinza katika Hotel iitwayo Mombasa Kinondoni.
Kova alisema polisi walipata taarifa toka kwa wasamaria wema...
11 years ago
Habarileo12 Dec
Denmark watengeneza kivuko cha Dar-Bagamoyo
KIVUKO cha kisasa kinajengwa nchini Denmark kwa ajili ya usafiri kwa njia ya maji kutoka jijini Dar es Salaam hadi Bagamoyo. Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi).
11 years ago
TheCitizen30 May
We have simplified operations, says ACB
11 years ago
Mwananchi14 May
ACB yaboresha makazi ya wateja
11 years ago
TheCitizen23 May
ACB to open new branch in Mwanza
11 years ago
Mwananchi13 May
Wajasiriamali watakiwa kufungua akaunti ACB