ACT: Tunajipanga kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Agosti
>Chama cha ACT- Tanzania, kimesema hakina muda wa kufanya siasa za chuki na malumbamo dhidi ya vyama vingine vya siasa, badala yake kinajipanga vizuri na kuandaa mazingira ya kushiriki katika uchaguzi mkuu ujao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Aug
Vyama 22 kushiriki uchaguzi mkuu
VYAMA vya siasa vinavyotakiwa kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu baadaye Oktoba 25 mwaka huu ni 22.
10 years ago
VijimamboBAWACHA KUHAMASISHA WANAWAKE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
11 years ago
Mwananchi08 May
Upinzani watoa masharti magumu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015
10 years ago
GPLWALEMAVU WATAKA HAKI YA KUSHIRIKI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Dewji Blog13 May
Serikali yatakiwa kuhimiza wananchi kushiriki upigaji kura Uchaguzi Mkuu

Kulia mbele ni Programu Ofisa wa TGNP Mtandao, Deo Temba akiwasilisha mada kwa washiriki wa mafunzo ya kuripoti habari za wanawake katika Uchaguzi Mkuu 2015 yaliowashirikisha wachora katuni, wasanii na waandishi wa habari pamoja na baadhi ya waendeshaji wa mitandao ya jamii nchini Tanzania (bloggers) mara baada ya semina hiyo.

Baadhi ya maofisa kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa.

Kushoto mbele ni Anna Sangai na Anna Kika ambao ni maofisa...
10 years ago
Vijimambo
BALOZI SEIF AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWA AMANI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU BAADAYE MWAKA HUU


...
5 years ago
Michuzi
VYAMA VYA SIASA 12 VISIVYO NA WAWAKILISHI BUNGENI VYATANGAZA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25,KUSIMAMISHA WAGOMBEA KILA JIMBO
Baadhi ya vyama hivyo ni DP,NRA, AAFP, UMD, UDDP, Makini, TLP,UDP, SAU, NLD, ADC, na CCK ambapo pamoja na mambo mengine vitafanya kampeni katika uchaguzi huo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mratibu wa umoja huo, Rashid Rai amesema wanatangaza kushirikiana katika uchaguzi mkuu kwenye ngazi...
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Mgombea urais ACT atambia Sera za chama chake kushinda uchaguzi mkuu
Mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mughwira, akizungumza na waandishi wa habari jana muda mfupi baada ya kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani kwenye kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida.Mughwira amesema kwa ujumla zoezi la uchaguzi katika halmashauri ya manispaa ya Singida,limeenda vizuri kwa amani na utulivu mkubwa.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MGOMBEA urais kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,amesema endapo wapiga...
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
ACT Wazalendo wamtaka JK aitishe bunge maalum la marekebisho kunusuru uchaguzi mkuu
Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Na Mwandishi Wetu
Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuitisha Bunge Maalum haraka iwezekanavyo ili ili liweze kufanya marekesho madogo ya katika ili kuruhusu uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki.
Kauli hiyo imetolewa na CHAMA cha Alliance For Change and Transparency...