Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT Wazalendo wamtaka JK aitishe bunge maalum la marekebisho kunusuru uchaguzi mkuu

DSC_0629

Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini.

Na Mwandishi Wetu

Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuitisha Bunge Maalum haraka iwezekanavyo ili ili liweze kufanya marekesho madogo ya katika ili kuruhusu uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki.

Kauli hiyo imetolewa na CHAMA cha Alliance For Change and Transparency...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Aliyekuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CUF ajiunga na ACT wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Amina Abdallah Amour amekihama chama chake cha CUF na kujiunga rasmi na chama cha AcCT Wazalendo mjini Zanzibar ambapo tayari amepewa kadi ya uanachama wa ACT leo hii

 

9 years ago

Vijimambo

ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.


ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.October 24 2015 ndio ilikua siku ya mwisho ya vyama vya siasa Tanzania kupiga kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu ambao tarehe yake ni October 25 ambapo baada ya kukuonyesha CCM na UKAWA walivyofunga kampeni kwenye post iliyopita, post hii ni ya ACT Wazalendo ambao wamefunga kampeni zao Kigoma.

Zitto Kabwe ndio anaonekana kwenye picha kwenye ufungaji wa kampeni za ACT Kigoma, vilevile Zitto anagombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini na...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI UPINZANI 2015: Anna Mghwira, Mwenyekiti ACT- Wazalendo

>Anna Mghwira ni Mwenyekiti wa kitaifa wa chama kipya cha siasa, ACT – Wazalendo. Alizaliwa Januari 23, 1959 katika hospitali ya Mkoa wa Singida, Kata ya Mungumaji, Kitongoji cha Irao Manispaa ya Singida Mjini. (Januari mwaka huu alitimiza miaka 56).

 

9 years ago

StarTV

Uchaguzi Arusha kuahirishwa kufuatia kifo cha mbunge wa ACT Wazalendo.

Mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo Estomih Malla, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya rufaa ya KCMC Mjini Moshi, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Marehemu Malla alikimbizwa KCMC baada ya hali yake kubadilika ghafla akiwa katika mikutano ya kampeni za chama chake  jumatano iliyopita huko Ngaramtoni Arusha.

Katika makao makuu ya chama cha ACT-Wazalendo Arusha Mwenyekiti wake mkoani humo Samwel Kivuyo, amesema wakiwa katika mkutano...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi ACT-Wazalendo: Je, Zitto vs Jussa ni mchuano wa kweli ama mipango ya ndani?

Tofauti na vyama vingine vya upinzani viongozi wakubwa wachukua fomu za kuchuana kwenye veo vikubwa ACT.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Katiba ya ACT-Wazalendo Kama Ilivyopitishwa Na Mkutano Mkuu 29Machi15

Alliance for Change and Transparency

(ACT-Wazalendo)

Chama cha Wazalendo

KATIBA

TOLEO LA 2015

View this document on Scribd

 

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge zawakumbusha Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuwa Wazalendo

 

MW1A Makamu wa Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal akipokea kijingi cha moto kutoka kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara, tayari kwa kuuwasha Mwenge wa Uhuru na kuzindua rasmi mbio za mwenge huo leo mjini Bukoba Mkoani Kagera.

Na: Aron Msigwa na Frank Shija- MAELEZO

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal ametoa wito kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kufanya maamuzi yanayozingatia maslahi mapana ya taifa ili kufanikisha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani vurugu zinazojitokeza Bunge ,maalum la Katiba

IMG_4427

Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Gulatone Masiga akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani), kushoto ni Acbert Sweya kutoka Chuo Kikuu cha Kampala.wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.

IMG_4422

Tamko La Wanafunzi by moblog

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani