Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT watafuta wadhamini kwa mgombea urais kivuli

ACTNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

CHAMA cha ACT –Wazalendo kimetuma timu ya viongozi wake kutafuta wadhamini wa mgombea urais ambaye hadi sasa hajapatikana.

Akizungumzia hilo jana kwa njia ya simu, Ofisa Habari wa chama hicho, Abdallah Khamis, alisema suala la mgombea urais kwa chama hicho bado lipo palepale na linatarajia kutatuliwa kwenye kikao cha Kamati Kuu.

“Kwa kuwa tunaamini kwamba lazima tusimamishe mgombea urais, imekuwa sababu kubwa kuanza safari za kuzunguka mikoani kumtafutia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, apiga kura Singida mjini

IMG_0113

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,akihakiki jina lake kwenye ubao wa matangazo muda mfupi kabla hajapiga kura kwenye kituo cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida leo.

IMG_0128

Mgombea urais kupitia ACT- Wazalendo, Anna Mughwira, akipiga kura kuchagua Rais, Mbunge na Diwani katika kituo cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida. Pamoja na mambo mengine, Mughwira ameseme endapo wapiga kura wataamua kuchagua chama ambacho kimenadi sera zake kwenye kampeni, anauhakika...

 

9 years ago

GPL

ACT YATAMBULISHA MGOMBEA URAIS NA MGOMBEA MWENZA

Prof. Mkumbo akimkaribisha mgombea urais, Bi. Anna Elisha. Bi Anna Elisha akizungumza na wanachama muda mfupi baada ya kutambulishwa. Kabwe akizungumza na wanachama.…

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.

Mgombea Urais wa ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kurejesha famu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT. Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na mkoba wake wa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akishindikizwa na Viongozi wa Chama hicho wakiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC bwawani Zanzibar. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea urais ACT kujulikana Agosti 10

Chama cha ACT - Wazalendo kinatarajia kumtagaza mgombea wake wa urais wa Agosti 10, imefahamika.

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea urais wa ACT kujulikana leo

MGOMBEA urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, inatarajiwa kujulikana leo baada ya Kamati Kuu ya chama hicho kupendekeza jina la mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea urais ACT atoa somo

Mgombea urais wa ACT - Wazalendo, Anna Mghwira, amewataka Watanzania hususan vijana kusoma Sheria za nchi na kuzielewa ili kupambana na baadhi ya viongozi wanaotumia vyeo vyao kuwanyima haki zao za msingi.

 

9 years ago

Mwananchi

Msafara wa mgombea urais wa ACT wazuiwa

Msafara wa mgombea urais kupitia chama cha ACT- Wazalendo umezuiwa kwa muda na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea, wakidai kuwa na wao wanahitaji baraka kutoka kwa mgombea huyo baada ya kuzikosa kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea Urais wa ACT hadharani Agosti 10

MGOMBEA wa Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu kupitia chama cha ACT-Wazalendo, inatarajia kujulikana Agosti 10 mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani