ACT Wazalendo wamwomba Dk. Magufuli kuingilia kati mgogoro wa Zanzibari
Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli kuingilia kati suala la mgogoro wa Zanzibar na hatimaye matokeo ya uchaguzi yafahamike na mshindi atangazwe.
Kiongozi wa Chama hicho ambaye pia ni Mbunge mteule wa Kigoma Ujiji Zitto Kabwe amesema Rais asiposhughulikia suala hilo linaweza kusababisha mpasuko mkubwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kazi anazozifanya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo18 Dec
ACT-Wazalendo yaomba Tanzania kuingilia kati Burundi
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeiomba Serikali ya Tanzania kuingilia kati mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Burundi na kusababisha machafuko. Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Kamati ya Mambo ya Nje ya ACT -Wazalendo, Venance Msebo, imesema kuwa chama hicho kinasikitishwa na mauaji yanayoendelea nchini humo hasa mjini Bujumbura.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-o3M_FOxHS4w/VkMeI9h55-I/AAAAAAAIFS4/RvP7mm_pjgM/s72-c/IMG_3873.jpg)
ACT WAZALENDO WAMWOMBA RAIS MAGUFULI KUAMURU ZEC KUTANGAZA MATOKEO ZANZIBAR
Zitto amesema kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) hakuwa na mamlaka yoyote ile katika tume hiyo ya kukufuta matokeo ya uchaguzi...
11 years ago
Michuzi05 Apr
KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWENKEZAJI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA
11 years ago
Tanzania Daima12 May
DC aombwa kuingilia kati mgomo wa wananchi
MKUU wa Wilaya (DC) ya Hanang’, Christine Mndeme, ameombwa kuingilia kati suala la wananchi wa Kata ya Endasak kugoma kuchangia ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari ya kata yao....
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Rais wa Yemen aitaka UN kuingilia kati
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
JK aombwa kuingilia kati fidia Mloganzila
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemuomba Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati na kutoa kauli kwa umma kuhusu fidia ya ardhi kwa wananchi wa Kata ya Mwembe, eneo la Mloganzila...
9 years ago
Dewji Blog30 Oct
Rais Kikwete ampongeza Rais Mteule Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Anna Mghwira wa ACT Wazalendo atuma salamu za pongezi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jana jioni Oktoba 29, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila...
11 years ago
Habarileo25 Dec
Dk Slaa amtaka JK kuingilia kati unyanyasaji wananchi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Willibrod Slaa ameitaka Serikali ikomeshe unyanyasaji na ukatili dhidi ya wananchi.
11 years ago
Mwananchi23 Feb
NLD Zanzibar wamtaka Msajili kuingilia kati uteuzi