Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT:Huu ni mwaka wa upinzani

Mgombea wa urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira jana alianza kampeni zake mkoani hapa, akisema mwaka huu ni wa vyama vya upinzani kuongoza nchi na kuipumzisha CCM iliyotawala zaidi ya miaka 50.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

ACT kufanya mkutano mkuu Novemba 20 mwaka huu

CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance, (ACT-Tanzania), kinatarajia kufanya mkutano mkuu maalum wa Taifa wa chama hicho  Novemba 20 mwaka huu. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa muda...

 

10 years ago

Michuzi

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MASOKO YA BIDHAA YA MWAKA 2015 (COMMODITY EXCHANGE ACT,2015)

Msomaji wa Maoni hayo Mhe. David Ernest Silinde (Mb) K.n.y Waziri Kivuli- Wizara ya Fedha 29.06.2015Kusoma maoni hayo BOFYA HAPA

 

11 years ago

Mwananchi

ACT: Sera yetu itavifunika vyama vyote vya upinzani

Chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimejinadi kwa kutangaza sera zake, kuwa ni pamoja na uadilifu katika maisha binafsi na kwenye jamii kwa viongozi na wanachama kwa jumla.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI UPINZANI 2015: Anna Mghwira, Mwenyekiti ACT- Wazalendo

>Anna Mghwira ni Mwenyekiti wa kitaifa wa chama kipya cha siasa, ACT – Wazalendo. Alizaliwa Januari 23, 1959 katika hospitali ya Mkoa wa Singida, Kata ya Mungumaji, Kitongoji cha Irao Manispaa ya Singida Mjini. (Januari mwaka huu alitimiza miaka 56).

 

11 years ago

Dewji Blog

TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu

DSC07622

Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.

DSC07610

Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi  ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.

DSC07617

Mbunge wa jimbo la...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili { Donor Conference } kwa ajili ya kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar unatarajiwa kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu hapa Zanzibar baada kukamilika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mgombea Mwenza CCM avunja ngome ya ACT Tanga, avuna wanachama 272 wa upinzani

Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo.  Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo. Mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wanaCCM na wananchi...

 

10 years ago

GPL

MGOMBEA MWENZA CCM AVUNJA NGOME YA ACT TANGA, AVUNA WANACHAMA 272 WA UPINZANI‏

Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni jana. Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni jana. … ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Prof Mwandosya; Mwaka 2005 nilikuwa wa tatu mwaka huu ikulu zamu yangu, ataka wagombea wenzake wasiogope kuelezwa maovu

Waziri asiye na Wizara maalum Prof Mark Mwandosya akiwapungua mkono baadhi ya wahudumu wa uwanja wa Ndege wa Nduli Iringa wakati akiondoka mkoani Iringa kuelekea mkoani Tabora kutafuta  wadhamini kwa ndege hiyo ya kukodi. Waziri Prof Mwandosya  akitafakari jambo. Dereva  wa gari la Prof Mwandosya  Iringa akipata picha ya kumbukumbu na kuagana na rubani wa ndege aliyokodi Waziri huyo. Wadhamini wa Prof Mwandosya  wakiagana na waziri huyo. Waziri Prof. Mwandosya  na mkewe akishuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani