Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Adam Kimbisa awawakia watendaji ‘wanaokumbatia wagombea urais’

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka watendaji wa CCM kukaa ofisini kufanya kazi badala ya kuzunguka mikoani kusafisha njia ya wagombea urais.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ndoto za wagombea urais

W agombea urais John Magufuli (CCM), Edward Lowassa (Chadema) na Anna Mghwira (ACT-Wazalendo), wanaendelea kuomba ridhaa ya Watanzania ili kuunda Serikali ya Awamu ya Tano, huku kila mmoja akija na sera anayoamini kuwa ni nzuri na tofauti  na mwenzake.

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais CCM kitanzini

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwapungia maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma jana, kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha Miaka 38 ya Kuzaliwa kwa CCM.MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewaonya wanachama wa chama hicho, kuheshimu Katiba ya chama na kufuata taratibu katika kugombea nafasi za kuteuliwa katika uchaguzi wa mkuu ili wasije kukilaumu chama, endapo wataenguliwa na hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mzaha uliotukuka wagombea 14 urais

Na Jabir Idrissa NITAMHESHIMU vilivyo Mwajuma Ali Khamis, mwanamke pekee aliyeingia kuwania wadhifa wa urais Zanzibar, lakini akakiri ufukara umemuangusha. Bi Mwajuma, ambaye sijajua ametokea wapi, amekua vipi, aliingia lini katika siasa mpaka kuthubutu kugombea, nitamheshimu […]

The post Mzaha uliotukuka wagombea 14 urais appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Wagombea urais wasikwepe midahalo

Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salam (Udasa) juzi ilitangaza mpango wake wa kuendesha midahalo ya wagombea urais wakati wa kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Oktoba.

 

10 years ago

Mwananchi

Midahalo ya wagombea urais yaja

Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) na ITV/ Radio One wamesaini makubaliano ya kuandaa midahalo ya wagombea wa urais kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM

Hiki ni kivumbi. Kati ya wagombea 42 waliojitokeza kuwania urais kupitia CCM, anatakiwa kubaki mmoja tu na mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu unafungwa kesho.

 

10 years ago

Mwananchi

Wagombea urais CCM wagonga 40

Dodoma/Dar. Mtafiti binafsi na kada wa CCM, Helena Elinawinga (41), amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake kuwania urais na kusema amefikia uamuzi huo ili kupunguza kujirudiarudia kwa adhabu za vifo kwa viongozi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mdahalo wa wagombea urais Oktoba 18

Wakati joto la uchaguzi likizidi kupanda nchini, wagombea wa urais wanatarajiwa kuchuana vikali kunadi sera zao kwa wananchi katika mdahalo utakaofanyika Oktoba 18 jijini hapa.

 

9 years ago

Mwananchi

Wagombea hawa wa urais walipatikanaje?

Wengi wanaweza kueleza namna ambavyo CCM na Chadema waliweza kuwapata wagombea wao wa urais, lakini sio wote wanaweza kueleza michakato hiyo ilifanyikaje ndani ya vyama vya NRA, ADC, UPDP, TLP.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani