AEESHA KAMARA FUNDRAISING

Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMISS TANZANIA USA: MAJAJI WAMPOKONYA USHINDI DOREEN PANGA NA KUMVIKA TAJI AEESHA KAMARA NJE YA UKUMBI
Doreen Panga kutoka New York usiku wa Aug 22, 2015, alivuliwa taji la Miss Tanzania USA na majaji wa shindano hilo nje ya ukumbi taji alilolivaa kwa dakika 45 na kumvika...
10 years ago
VijimamboAEESHA KAMARA ANYAKUA TAJI LA MISS TANZANIA USA AVIKWA TAJI NJE YA UKUMBI BAADA YA MAJAJI KUTENGUA MATOKEO
9 years ago
Michuzi
MISS TANZANIA USA 2015-2016 AEESHA KAMARA ASHINDA KUWA COVER GIRL KWENYE CALENDA YA MISS AFRICA USA

9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara ashinda kuwa Cover Girl kwenye kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016

Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara (kushoto) akiibuka mshindi na kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016 shindano ililofanyika New York siku ya Jumamosi Novemba 28, 2015.
Mamiss wengine walioshiriki shindano hilo wakipita mbele ya majaji.
Wadau wakipata picha na mamiss wakati mratibu wa mashindano ya miss Africa Lady Kate alipokua akitangaza shindi.
Ma Winny Casey (gauni jeusi) pamoja na Lady Kate (mwenye miwani) wakiwa na mamiss.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Kamara Mpaka — 2
WIKI iliyopita katika uhakiki huu wa kitabu kilichotungwa na Omwami F.X. Lwamgira mwaka 1949; tuliangalia utangulizi wa kitabu. Sasa endelea. Mwandishi anafafanua vizuri, tofauti zinazojitokeza za Abahima, Abairu au Watutsi...
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Kamara Mpaka — 4
SEHEMU tatu zilizopita katika uhakiki wa kitabu cha Kamara Mpaka kilichotungwa na Omwami F.X. Lwamgira mwaka 1949; tuliangalia utangulizi na mazingira yanayokizunguka kitabu na muhtasari wake. Sasa endelea. Sura ya...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Kamara Mpaka — (5)
KATIKA mfululizo wa uhakiki wa kitabu cha Kamara Mpaka kilichotungwa na Omwami F.X. Lwamgira mwaka 1949; tumeangalia utangulizi, mazingira yanayokizunguka kitabu na muhtasari wake. Sehemu iliyopita tulichambua sura ya pili...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Kamara Mpaka
Rekodi za kibibliografia JINA la kitabu kinachohahikiwa hapa ni Kamara Mpaka ambacho kimetungwa na Omwami F.X. Lwamgira mwaka 1949; huku kikiwa na kurasa 491. Utangulizi Hiki ni kitabu cha historia...
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Kamara Mpaka — 6
Kwa wasomaji wapya: Katika sehemu zilizopita za uhakiki wa kitabu cha Kamara Mpaka kilichotungwa na Omwami F.X. Lwamgira mwaka 1949; tuliangalia utangulizi, mazingira, muhtasari na tathmini ya kitabu. Sasa endelea…...