AFARIKI AKIFANYA MAPENZI KWENYE GARI
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe alisema Mtensa, ambaye alikuwa na mpenzi wake kwenye gari maeneo ya Buyekera, alifariki dunia kabla ya kufikishwa kituo cha afya cha ELCT Ndolage.
Alisema binti waliyekuwa naye kwenye gari anatokea mkoani Mara na kwamba tukio hilo lilitokea usiku wa...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Afariki akifanya mapenzi
11 years ago
Mwananchi09 May
Dereva afariki akifanya mapenzi ‘Gesti’
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Dereva afia gesti akifanya mapenzi
DEREVA wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, Juma Juma (52) amekutwa amekufa ndani ya chumba cha kulala wageni wakati akifanya mapenzi na mhudumu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
11 years ago
Dewji Blog08 May
Dereva wa Halmashauri afia gesti akifanya mapenzi
Na Nathaniel Limu, Singida
DEREVA wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida Juma Juma (52) amefariki dunia wakati akifanya mapenzi na mwanamke mhudumu wa baa kwenye nyumba ya kulala wageni.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida,SACP Geofrey Kamwela amesema tukio hilo limetokea mei tatu mwaka huu saa nane za usiku chumba no.S.2 nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Top Life New Kiomboi mjini.
Amesema siku ya tukio,dereva Juma saa sita za usiku alimwaga mpangaji wake...
11 years ago
Dewji Blog31 May
Breaking News: Msiba mwingine Bongo Movie “George Tyson” afariki kwenye ajali ya gari usiku huu
Produza maarufu wa filamu nchini George Tyson (pichani) amefariki dunia usiku huu kwenye ajali ya gari Morogoro wakitokea Dodoma na wenzake sita kujeruhiwa akiwemo Blogger maarufu DJ Choka.
Chanzo cha jali hiyo akijajulikana bado MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutawapa taarifa hapo baadae.
Taarifa hizi zimethibitishwa na jamaa wa karibu wa marehemu.
MOblog inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha marehemu George Tyson na inawaombea nafuu wote waliojeruhiwa kwenye...
10 years ago
GPLAFARIKI AKIFANYA MASIHARA MTONI
11 years ago
Michuzi07 Jul
11 years ago
Michuzi08 Jul