Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHEKESHAJI SALVADOR KUTOKA UGANDA AKIFANYA YAKE KWENYE STANDUP COMEDY - 2

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Siku mchekeshaji Anne Kansiime wa Uganda alipoamua kuimba!

Wiki iliyopita mchekeshaji wa kike kutoka Uganda, Anne Kansiime alishika nafasi ya kwanza katika orodha ya watu 100 maarufu wa Uganda, ‘Uganda’s top 100 celebrities’. Kikubwa zaidi hadi kufanya mitandao mingine iandike habari hiyo kwa kuanza na neno ‘Shocking’, ni kwasababu Kansiime alidhihirisha kuwa kwa sasa yeye ni maarufu kumzidi hata mwimbaji Jose Chameleone, aliyekamata […]

 

10 years ago

GPL

PROFESA JAY AKIFANYA YAKE STEJINI

Mkongwe wa Hip hop nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' akifanya makamuzi ya hatari ndani ya Leaders Club.…

 

10 years ago

GPL

SHAA AKIFANYA YAKE FIESTA 2014

 Msanii wa Bongo Flava, Shaa akifanya yake usiku huu kwenye tamasha la Fiesha 2014 Leaders Club, Dar.…

 

11 years ago

GPL

MWANA FA AKIFANYA YAKE USIKU WA UTOAJI TUZO ZA KILI

Mwanamuziki FA akifanya vitu vyake katika usiku wa utoaji tuz za Kili ndani ya Mlimani City. Madansa wa FA waliokuwa wamevalia Kimasai wakitoka stejini baada ya…

 

10 years ago

CloudsFM

AFARIKI AKIFANYA MAPENZI KWENYE GARI

Polisi mkoani Kagera inachunguza kifo cha mmiliki wa ukumbi wa klabu ya usiku ya Linas Night, Leonard Mtensa (50) ambaye inadaiwa alifariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye gari lake.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe alisema Mtensa, ambaye alikuwa na mpenzi wake kwenye gari maeneo ya Buyekera, alifariki dunia kabla ya kufikishwa kituo cha afya cha ELCT Ndolage.

Alisema binti waliyekuwa naye kwenye gari anatokea mkoani Mara na kwamba tukio hilo lilitokea usiku wa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: K.O aachia wimbo mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake

K.O

Rapper wa Afrika Kusini K.O aka Cashtime ameachia wimbno mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake iitwayo ‘Skhanda Republic’.

K.O

K.O alisema video ya wimbo huu anategemea kuiachia mwishoni mwa mwezi huu.

Miezi michache iliyopita K.O ambaye amewahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Vanessa Mdee ‘ No Body But Me’ alikuja Tanzania kufanya media tour.

Ding Dong | tayotv

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani