Video: Siku mchekeshaji Anne Kansiime wa Uganda alipoamua kuimba!
Wiki iliyopita mchekeshaji wa kike kutoka Uganda, Anne Kansiime alishika nafasi ya kwanza katika orodha ya watu 100 maarufu wa Uganda, ‘Uganda’s top 100 celebrities’. Kikubwa zaidi hadi kufanya mitandao mingine iandike habari hiyo kwa kuanza na neno ‘Shocking’, ni kwasababu Kansiime alidhihirisha kuwa kwa sasa yeye ni maarufu kumzidi hata mwimbaji Jose Chameleone, aliyekamata […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-B5uVfWgAkW8/U9tYdBgSdLI/AAAAAAAF8M4/T_bfQCLNrHU/s72-c/2.jpg)
Anne Kansiime kutoa burudani siku ya Jumamosi Golden Tulip
![](http://1.bp.blogspot.com/-B5uVfWgAkW8/U9tYdBgSdLI/AAAAAAAF8M4/T_bfQCLNrHU/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AjicD-mkYGU/U9tYcFqIx8I/AAAAAAAF8M0/n0pBuMpZb9A/s1600/1.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/A1YzOQVw1tw/default.jpg)
11 years ago
Michuzi30 Jul
11 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
Michuzi18 Apr
11 years ago
Michuzi25 Feb
11 years ago
Michuzi23 May
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GRURBmbcj5E/U8zNlrXP_YI/AAAAAAAF4Sg/MY9BeLH5AWs/s72-c/Unknown.jpeg)
Anne Kansiime kuburudisha Dar August 2.
![](http://4.bp.blogspot.com/-GRURBmbcj5E/U8zNlrXP_YI/AAAAAAAF4Sg/MY9BeLH5AWs/s1600/Unknown.jpeg)
Akizungumzia tukio hilo Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Radio 5, Robert Francis alisema kuwa wameamua kumualika...
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Anne Kansiime kuwasili leo jijini Dar
Mchekeshaji Anne Kansiime (pichani) anatarajiwa kuwasili leo jijini Dar es Salaam tayari kwa burudani kali hapo August 2 kwenye ukumbi wa Golden Tulip.
Mkali wa huyo wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, atawasili majira ya saa kumi jioni kwa ndege ya shirika la Rwanda.
Anne anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari hapo Ijumaa saa tano kamili asubuhi kwenye ukumbi wa Sports Lounge uliopo Posta, na jumamosi atasalimiana na mashabiki katika viwanja vya Mlimani...