Anne Kansiime kutoa burudani siku ya Jumamosi Golden Tulip
![](http://1.bp.blogspot.com/-B5uVfWgAkW8/U9tYdBgSdLI/AAAAAAAF8M4/T_bfQCLNrHU/s72-c/2.jpg)
Pichani wa pili kulia ni Mchekeshaji Mahiri kutoka nchini Kenya,Anne Kansiime akifafanua jambo mbele ya Wanahabari kuhusiana na burudani yake kubwa atakayoinyesha hapo kwesho siku ya Jumamosi kwa mashabiki wake katika ukumbi wa Golden Tulip,jijini Dar,Kulia kwakwe ni mchekeshaji mwingine kutoka nchini Kenya,Fred Omondi.
Mmoja wa wachekeshaji mahiri kutoka nchini Tanzania,atambulikae kwa jina la kisanii Mc Pili Pili akielezea jambo kwenye mkutano wa Wanahabari uliofanyika mapema leo jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Kansiime kufunika Golden Tulip leo
MCHEKESHAJI Anne Kansiime kutoka Uganda, anatarajia kutoa burudani ya aina yake katika usiku wa ‘Cheka kwa nguvu’ ambao utaambatana na uzinduzi wa kituo cha Radio 5 kitakachokuwa kikirushwa moja kwa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oBy3_lAIuig/Uw9fw2RoP8I/AAAAAAAFQC8/kGkQ8sLWS8w/s72-c/WIndhoek-Draught-Black-Party+(2).jpg)
10 years ago
Bongo517 Aug
Video: Siku mchekeshaji Anne Kansiime wa Uganda alipoamua kuimba!
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/A1YzOQVw1tw/default.jpg)
11 years ago
Michuzi30 Jul
11 years ago
Michuzi18 Apr
11 years ago
Michuzi27 Feb
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KCrDIylWW14/VG_zJ_mefRI/AAAAAAAGyyo/955Qbs3RC-Y/s72-c/unnamed%2B(44).jpg)
11 years ago
Michuzi23 May