Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kansiime kufunika Golden Tulip leo

MCHEKESHAJI Anne Kansiime kutoka Uganda, anatarajia kutoa burudani ya aina yake katika usiku wa ‘Cheka kwa nguvu’ ambao utaambatana na uzinduzi wa kituo cha Radio 5 kitakachokuwa kikirushwa moja kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Anne Kansiime kutoa burudani siku ya Jumamosi Golden Tulip

Pichani wa pili kulia ni Mchekeshaji Mahiri kutoka nchini Kenya,Anne Kansiime akifafanua jambo mbele ya Wanahabari kuhusiana na burudani yake kubwa atakayoinyesha hapo kwesho siku ya Jumamosi kwa mashabiki wake katika ukumbi wa Golden Tulip,jijini Dar,Kulia kwakwe ni mchekeshaji mwingine kutoka nchini Kenya,Fred Omondi. Mmoja wa wachekeshaji mahiri kutoka nchini Tanzania,atambulikae kwa jina la kisanii Mc Pili Pili akielezea jambo kwenye mkutano wa Wanahabari uliofanyika mapema leo jijini...

 

9 years ago

Michuzi

Kujengwa kwenye hifadhi ya Bahari Golden Tulip kwazua maswali ya sheria ya mita 60

Kumekuwa na sheria na kanuni mbalimbali zinazoundwa, ingawa wakati mwingine hushindwa kutekelezeka kwa wakati. Ukifika katika hoteli ya Golden Tulip utakuta jinsi eneo hilo linavyozidi kujengwa na kuendelezwa kama lilivyokutwa na mpiga picha wetu. Kujengwa kwa eneo hili lililokuwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi ni kinyume cha sheria ya Hifadhi ya Bahari. Tumeshuhudia maeneo mengi yakivunjwa kwa nyumba zao baada ya kubainika yamejengwa katika hifadhi ya bahari. Haijafahamikaa mara moja kama...

 

11 years ago

Michuzi

Heineken Tanzania yawaburudisha wadau wa soka kwa kuonyesha fainali za UEFA champions league pale Golden Tulip hotel

Mashabiki wa Mchezo wa soka nchini wakishangilia ushindi wa timu Timu ya Real Madrid iliyoshinda kwa magoli 4 -1 na kunyakua ubingwa wa UEFA kwa mwaka 2014/15 dhidi ya ndugu zao Atretoco Madrid katika fainali iliyofanyika mjini Lisbon,Ureno.Heineken Tanzania ilichukua nafasi hiyo kwa kuonyesha mechi hiyo kwa lengo la kuwakutanisha mashabiki wa soka hapa nchini,ambapo shughuli hiyo ya kuonyesha mchezo huo ilifanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip hotel,Jijini Dar es Salaam.  Meneja wa...

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI WA ALBAMU LEO: EXTRA BONGOK KUFUNIKA DAR LIVE

...Titi , Super Nyamwela na Sharapova wakionyesha mbwembwe zao kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

11 years ago

Dewji Blog

Anne Kansiime kuwasili leo jijini Dar

Anne-Kansiime-Uganda-comedy-2

Mchekeshaji Anne Kansiime (pichani) anatarajiwa kuwasili leo jijini Dar es Salaam tayari kwa burudani kali hapo August 2 kwenye ukumbi wa Golden Tulip.

Mkali wa huyo wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, atawasili majira ya saa kumi jioni kwa ndege ya shirika la Rwanda.

Anne anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari hapo Ijumaa saa tano kamili asubuhi kwenye ukumbi wa Sports Lounge uliopo Posta, na jumamosi atasalimiana na mashabiki katika viwanja vya Mlimani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani