Mchekeshaji Erick Omondi alipoitwa kwenye stage na Diamond Platnumz Zari...
![](http://img.youtube.com/vi/rDB3iD7BXsM/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Apr
DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Flh5.ggpht.com%2F-tAX_nlQFQwI%2FVRphrmI4keI%2FAAAAAAAART0%2FTbz7m6aHZps%2Fs640%2FPhotoGrid_1427792477433.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Diamond Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo.Diamond Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro.
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Flh5.ggpht.com%2F-4BRzPB77vNw%2FVRphxYRVDMI%2FAAAAAAAART8%2F2cK-3J7IlGw%2Fs640%2FPhotoGrid_1427792497346.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
CloudsFM28 Apr
Diamond Platnumz kuzindua Tv yake kwenye Zari White Party,Mlimani City,Ijumaa hii
Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz anatarajia kuzindua tv yake kwenye Zari White Party itakayofanyika Ijumaa hii pande za Mlimani City,Mwenge,jijini Dar.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-R4vNK17xbzE/VbCefzLZ6EI/AAAAAAAAGrA/6zj-7nEILPg/s72-c/eavc.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-r8c85VMVthI/VOq6zEqkrsI/AAAAAAAAG5U/6exRrwF8f4g/s72-c/Maneno%2Bya%2BZari%2BHassan%2Bkwa%2Bpicha%2Binayo%2Bmuonyesha%2BDiamond%2Bakichungulia%2Banacho%2Bkifanya%2Bkwenye%2Bsimu.jpg)
Maneno ya Zari Hassan kwa picha inayo muonyesha Diamond Platnumz akichungulia anacho kifanya kwenye simu
![](http://3.bp.blogspot.com/-r8c85VMVthI/VOq6zEqkrsI/AAAAAAAAG5U/6exRrwF8f4g/s1600/Maneno%2Bya%2BZari%2BHassan%2Bkwa%2Bpicha%2Binayo%2Bmuonyesha%2BDiamond%2Bakichungulia%2Banacho%2Bkifanya%2Bkwenye%2Bsimu.jpg)
10 years ago
MichuziErick na Fred Omondi kutumbuiza Siku Ya Msanii
![](http://3.bp.blogspot.com/-hP1nocqZma8/VEDYHZQjAoI/AAAAAAAGrJ8/6fvu2wDUplY/s1600/Eric-Omondi.jpg)
Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones...
10 years ago
Bongo530 Dec
Picha: Zari The Bosslady na Diamond Platnumz ni Kimye wa Afrika!
10 years ago
Dewji Blog01 Feb
Diamond Platnumz atua na mpenzi wake Zari mjini Songea
Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Dr. Jakaya Kikwete.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA).
Diamond Platnumz akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini.
Mkuu wa wilaya ya...