AFARIKI AKIFANYA MASIHARA MTONI
Marehemu Jackson Nyambele enzi za uhai wake. WAANDISHI wetu KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Jackson Nyambele (28) mkazi wa Mbezi Mtoni jijini Dar, amefariki dunia baada ya kusombwa na maji ya mto uliopo Mbezi alipokuwa akifanya masihara na wenzake.Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Machi 22, mwaka huu ambapo chanzo chetu makini kinadai kuwa, awali marehemu alikuwa akibishana na wenzake kwamba yeye anaweza kuvuka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Afariki akifanya mapenzi
10 years ago
CloudsFM20 Nov
AFARIKI AKIFANYA MAPENZI KWENYE GARI
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe alisema Mtensa, ambaye alikuwa na mpenzi wake kwenye gari maeneo ya Buyekera, alifariki dunia kabla ya kufikishwa kituo cha afya cha ELCT Ndolage.
Alisema binti waliyekuwa naye kwenye gari anatokea mkoani Mara na kwamba tukio hilo lilitokea usiku wa...
11 years ago
Mwananchi09 May
Dereva afariki akifanya mapenzi ‘Gesti’
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-i7IuGDQLi_Y/VN22IkweWkI/AAAAAAAHDbw/WmNdkzkmyJ4/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
HAJAT KIJAKAZI SALUM KYERULA AFARIKI DUNIA, MSIBA UPO MIKOCHENI VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM, KUZIKWA LEO MTONI KIJICHI
![](http://4.bp.blogspot.com/-i7IuGDQLi_Y/VN22IkweWkI/AAAAAAAHDbw/WmNdkzkmyJ4/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
Mmoja wa waasisi na viongoizi wakongwe wa CCM Hajat Kijakazi Salum Kyerula amefairiki dunia jijini Dar es salaam jana. Taratibu za mazishi zinafanyika mikocheni eneo la Victoria karibu na Oil com pamoja na hospitali ya Kairuki, jijini Dar es salaam. Swala ya maiti itafanyika hapo hapo Mikocheni sambamba na swala ya Ijumaa na baadaye maziko yatafanyika Mtoni Kijichi, kwenye makaburi ya njia panda ya Neruka.
WASIFU WA MAREHEMUHAJAT KIJAKAZI SALUM KYELULA NA RATIBA YA MAZISHI
Hajat KIJAKAZI...
10 years ago
Vijimambo05 Dec
60 wanusurika kufa mtoni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Paul-Mzindakaya-December5-2014.jpg)
Zaidi ya abiria 60 waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Mwanza Coach, kwenda Musoma mjini wamenusurika kufa baada ya tairi la mbele kupasuka na kutumbukia mtoni.
Tukio hilo limetokea juzi na kulihusisha basi lenye namba za usajili T714 BJB ambalo baada ya tairi kupasula liliacha kuacha njia.
Mkuu wa wilaya ya Busega, Paul Mzindakaya, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu tisa walipata michubuko kidogo baada ya basi hilo kutumbukia...
11 years ago
Habarileo13 Jul
Mtoni Sabasaba walalamikia TRH
WAKAZI wa Mtoni Sabasaba mtaa wa Chaurembo, wamelalamikia kitendo cha Kampuni ya Usafirishaji (TRH), kuendelea na ujenzi hali ya kuwa hajawalipwa fedha zao, jambo wanalohisi anataka kuwahamisha kwa nguvu.
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Ndege ya Taiwan yaangukia mtoni
10 years ago
Habarileo30 Aug
Majambazi 5 wauawa wakiogelea mtoni
WATU watano wanaosadikiwa kuwa majambazi, wamepigwa kwa mawe hadi kufa wakijaribu kutoroka nguvu za umma kwa kutumia Mto Mara, wilayani Tarime huku wakiwa na bunduki mbili zinazotumika vitani aina ya sub machine gun (SMG).
9 years ago
Habarileo03 Jan
Basi lenye abiria 42 latumbukia mtoni
WATU sita wamekufa papo hapo na wengine 25 kujeruhiwa na kulazwa hospitalini kutokana na ajali mbili tofauti. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema mjini hapa jana kuwa ajali ya kwanza, ilihusisha basi la abiria lililokuwa na abiria 42, ambalo liligonga kingo za daraja, likaparamia miti miwili kisha kutumbukia ndani ya mto Lukosi, Iyovi eneo la Msosa huko Mikumi wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, katika barabara kuu ya Iringa – Morogoro.