Mtoni Sabasaba walalamikia TRH
WAKAZI wa Mtoni Sabasaba mtaa wa Chaurembo, wamelalamikia kitendo cha Kampuni ya Usafirishaji (TRH), kuendelea na ujenzi hali ya kuwa hajawalipwa fedha zao, jambo wanalohisi anataka kuwahamisha kwa nguvu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo05 Dec
60 wanusurika kufa mtoni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Paul-Mzindakaya-December5-2014.jpg)
Zaidi ya abiria 60 waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Mwanza Coach, kwenda Musoma mjini wamenusurika kufa baada ya tairi la mbele kupasuka na kutumbukia mtoni.
Tukio hilo limetokea juzi na kulihusisha basi lenye namba za usajili T714 BJB ambalo baada ya tairi kupasula liliacha kuacha njia.
Mkuu wa wilaya ya Busega, Paul Mzindakaya, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu tisa walipata michubuko kidogo baada ya basi hilo kutumbukia...
10 years ago
GPLAFARIKI AKIFANYA MASIHARA MTONI
10 years ago
Habarileo30 Aug
Majambazi 5 wauawa wakiogelea mtoni
WATU watano wanaosadikiwa kuwa majambazi, wamepigwa kwa mawe hadi kufa wakijaribu kutoroka nguvu za umma kwa kutumia Mto Mara, wilayani Tarime huku wakiwa na bunduki mbili zinazotumika vitani aina ya sub machine gun (SMG).
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Ndege ya Taiwan yaangukia mtoni
9 years ago
Mzalendo Zanzibar16 Oct
Vedio- Mkutano wa Kampeni za Urais Mtoni
The post Vedio- Mkutano wa Kampeni za Urais Mtoni appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Mtoto anusurika baada ya kutumbukia mtoni
9 years ago
Habarileo03 Jan
Basi lenye abiria 42 latumbukia mtoni
WATU sita wamekufa papo hapo na wengine 25 kujeruhiwa na kulazwa hospitalini kutokana na ajali mbili tofauti. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema mjini hapa jana kuwa ajali ya kwanza, ilihusisha basi la abiria lililokuwa na abiria 42, ambalo liligonga kingo za daraja, likaparamia miti miwili kisha kutumbukia ndani ya mto Lukosi, Iyovi eneo la Msosa huko Mikumi wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, katika barabara kuu ya Iringa – Morogoro.
10 years ago
GPLMH. TEMBA AANGUSHA BETHIDEI YA NGUVU MTONI, DAR
11 years ago
Habarileo27 Mar
Kinana aonya uzalishaji gesi dampo la Mtoni
KATIBU Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahaman Kinana, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwa mwangalifu na wawekezaji wapya wanaotaka kuchukua mradi wa uzalishaji gesi kwa kutumia takataka katika dampo la Mtoni kwa Azizi Ally.