Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana aonya uzalishaji gesi dampo la Mtoni

KATIBU Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahaman Kinana, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwa mwangalifu na wawekezaji wapya wanaotaka kuchukua mradi wa uzalishaji gesi kwa kutumia takataka katika dampo la Mtoni kwa Azizi Ally.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Nishati akagua uzalishaji wa gesi asilia Lindi na Mtwara

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Gesi (GASCO) ambayo ni Kampuni Tanzu ya Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini( TPDC) Mhandisi Baltazar Mroso( katikati) akitoa maelezo ya namna ya gesi inavyosafirishwa kwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( mwenye ushungi) wakati wa ziara ya Katibu Mkuu huo ya kutembelea mradi wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi na Mtwara, Mei 30- Juni 01,2020.
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( mwenye wa pili kulia) akitoa maelekezo kwa msimamizi...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SHUGHULI ZA UZALISHAJI NA UTAFUTAJI GESI,MAFUTA WATOA MAONI RASIMU YA SERA YA PETROLI

 Mmoja wa wadau wa shughuli za utafutaji na uzalishaji gesi akitoa maoni yake kuhusu namna ya kuboresha rasimu ya Sera ya Petroli. Wanaofuatia ni baadhi ya wadau kutoka  Kampuni mbalimbali zinazofanya shughuli hizo nchini.

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akifuatilia kwa karibu wadau wakitoa  maoni wakati wa warsha ya  wadau wanaoshughulika na   shughuli za utafutaji na uzalishaji gesi na mafuta ili kupata maoni yao  yatakayosaidia...

 

9 years ago

Michuzi

Ziara ya Dkt.Kalemani katika kituo cha uzalishaji umeme kwa kutumia Gesi Kinyerezi.

Na Anitha Jonas –MAELEZO Wizara ya Nishati na Madini imewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha uzalishaji wa umeme katika Mradi wa Kinyerezi I na Kinyerezi II unakamilika ifikapo mwezi Februari 2016 na kuanza kufanya uzalishaji ilikuongeza kiasi cha nishati ya umeme kufikia zaidi ya Megawati 100.  Agizo hilo lilitolewa leo na Naibu Waziri, Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani alipofanya ziara yake katika kituo cha kuzalisha umeme kwa kutumia...

 

9 years ago

StarTV

Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa

Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.

Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...

 

11 years ago

GPL

KANISA LA GWAJIMA LAGEUZWA DAMPO

Kanisa la Nabii Josephat Gwajima la Kibaha, Pwani Stori: Matsoni Msama, Kibaha KANISA la Nabii Josephat Gwajima la Kibaha, Pwani limegeuzwa dampo baada ya takataka kutupwa nyuma ya kanisa hilo. Sehemu ya nyuma ya kanisa hilo ikiwa na lundo la taka.  Gazeti hili lilikwenda kanisani hapo na kukuta rundo la takataka nyuma ya kanisa hilo na eneo lote limetawaliwa… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pugu waeleza kero ya dampo

WAKAZI wa eneo la Pugu Kinyamwezi, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam wameeleza kero na madhara wanayoyapata kutokana na dampo lililopo eneo hilo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Tanzania Daima...

 

11 years ago

Habarileo

‘Wadudu wa dampo’wafanya uhalifu Dodoma

KUNDI kubwa la vijana wanaojiita ‘wadudu wa dampo’ limeibuka mjini hapa na kufanya matukio ya uhalifu huku likihusishwa na mauaji ya watu wanne, jambo lililozua hofu na taharuki kwa wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania haina dampo la taka ngumu’

TANZANIA haina dampo la kutekeleza taka ngumu zenye sumu, bunge lilielezwa jana. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Ummi Mwalimu, alipokuwa akijibu...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WALALAMIKIA DAMPO MAENEO YA MAKAZI

Picha za matukio katika eneo la Mto Msimbazi Tabata panapomwagwa takataka. BAADHI ya wakazi wa Tabata Msimbazi jijini Dar es Salaam, wamelalamikia kitendo cha dampo lililokuwa eneo la Vingunguti kuhamishiwa katika makazi yao. Wakizungumza na GPL, raia hao wamesema dampo hilo lilikuwa limefungwa kwa muda sasa wanashangaa kuona takataka zikizolewa na kutupwa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani