WANANCHI WALALAMIKIA DAMPO MAENEO YA MAKAZI
Picha za matukio katika eneo la Mto Msimbazi Tabata panapomwagwa takataka. BAADHI ya wakazi wa Tabata Msimbazi jijini Dar es Salaam, wamelalamikia kitendo cha dampo lililokuwa eneo la Vingunguti kuhamishiwa katika makazi yao. Wakizungumza na GPL, raia hao wamesema dampo hilo lilikuwa limefungwa kwa muda sasa wanashangaa kuona takataka zikizolewa na kutupwa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Feb
Serikali yaagiza Anuani za makazi mpaka maeneo yasiyopimwa
SERIKALI imeagiza Mpango wa utoaji wa vibao vya anuani za makazi na postikodi kuhakikisha unatoa majina kwa mitaa yote, ikiwamo maeneo yasiyopimwa pamoja na barabara zote nchini kuoneshwa wazi kwa kuandikwa.
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Wananchi walalamikia polisi K’njaro
Na Upendo Mosha,Moshi
WANANCHI mkoani Kilimanjaro, walitupia lawama jeshi la polisi mkoani humo kwa kushindwa kudhibiti wimbi la uporoaji wa kutumia silaha na mauaji.
Hatua hiyo, imekuwa siku chacha tu,baada ya mauaji ya mfanyabishara maarufu mjini Moshi, Josephat Mahalo (36) maarufu kwa jina la Tajiri mtoto.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti juzi mjini Moshi,wamesema matukio ya uhalifu yameendelea kushika kasi maeneo mbalimbali ya mkoa huo tofauti na miaka ya hivi...
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Wananchi walalamikia matumizi mabaya ya fedha
WANANCHI wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha madiwani wa wilaya hiyo, kutumia fedha na kuunda tume ya watu watatu, akiwemo mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Joseph Malimbe, kwenda kumuona Katibu...
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Wananchi Mwanga walalamikia operesheni ya polisi
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/LU8NTD4KxdY/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Wananchi Dumila ‘walilia’ makazi
10 years ago
MichuziMRADI WA UJENZI WA NYUMBA 10,000 ZA MAKAZI YA WATUMISHI WA SERIKALI NA WA UMMA WAANZA KATIKA MAENEO MBALI MBALI NCHINI
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-YHPDDV_pMTs/VoKfvIItcDI/AAAAAAAIPPA/brMPh7_2kgs/s72-c/IMG-20151215-WA0232.jpg)
WANANCHI WA KIJIJI CHA SHENDA WILAYANI GEITA WALALAMIKIA UCHAFU ULIOTUPWA TAREHE 9 DISEMBA
Wananchi wa kijiji cha Shenda katika kata ya Masumbwe wilayani Mbogwe mkoani Geita Wameitaka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ya Mbogwe kuziondoa takataka zilizowekwa kijijini kwao kufuatia zoezi la usafi la December 9 Lililofanyika nchi nzima.
Wakiongea na waandishi wa habari za mtandaoni wananchi hao wanakijiji hao wamesema kuwa wanashangazwa na kitendo cha halmashauri ya wilaya kutupa takataka katika kijiji chao licha ya kwamba hakuna dampo la uchafu eneo...
9 years ago
StarTV24 Nov
Baadhi ya wananchi wakosa makazi kutokana Mafuriko Mara
Mvua kubwa imenyesha mjini Bunda mkoani Mara na kusababisha mafuriko yaliyoharibu mali za wananchi, chakula na samani za ndani.
Mvua hiyo iliyonyesha kwa zaidi ya saa moja majira ya alasiri imesababisha hasara kubwa kwa wakazi wa Mji huo, kwani baadhi ya wananchi wamekosa mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka.
Mvua hiyo imeleta hasara kubwa katika karibu mitaa yote ya Mji wa Bunda, ambapo katika mitaa ya Kabarimu, majengo, Nyasura na mbugani mafuriko hayo...