Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFRICAN ART AND FASHION WEEK YAFANYIKA WASHINGTON DC

Ma Winny Casey akipita mbele ya mashabiki wa mavazi katika wiki ya maonesho ya sanaa na mavazi yaliyofanyika kwenye Ubalozi wa Nigeria Washington, DC siku ya Jumamosi May 16, 2015.Models wakipita mbele ya mashabiki wa mavazi.Kwa picha zaidi zikiwemo vivazi vya wabunifu wengine bofya soma zaidi.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SOUTHERN AFRICAN FASHION SHOW YAFANYIKA KWA KISHINDO

Washereheshaji wakifanya vitu vyao kwenye usiku wa onesho la mavazi kutoka kwa wanamitindo na wabunifu mbalimbali kutoka nchi kusini mwa Afrika wakiwemo wabunifu wawili Watanzania waliopendezesha maonesho hayo. 
Juu na chini ni bendera kutoka nchini za kusini mwa Afrika zikipita kwenye ufunguzi wa maonesho hayo yaliyofanyika siku ya Ijumaa Aug 29, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.kwa picha zaidi bofya hapa

 

11 years ago

GPL

SOUTHERN AFRICAN FASHION SHOW YAFANYIKA KWA KISHINDO‏

Washereheshaji wakifanya vitu vyao kwenye usiku wa onesho la mavazi kutoka kwa wanamitindo na wabunifu mbalimbali wa nchi za kusini mwa Afrika wakiwemo wabunifu wawili Watanzania waliopendezesha maonesho hayo.  
Juu na chini ni bendera kutoka nchini za kusini mwa Afrika zikipita kwenye ufunguzi wa maonesho hayo yaliyofanyika siku ya Ijumaa Agosti 29, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.… ...

 

11 years ago

GPL

OPEN CALL FOR FASHION DESIGNERS: OPPORTUNITY TO PARTICIPATE IN LONDON FASHION WEEK INTERNATIONAL FASHION SHOWCASE 2015‏

Open call to all Tanzanian or Tanzanian-based designers and fashion houses!
The Tanzanian Embassy, UK in association with the British Council and the British Fashion Council is participating in the International Fashion Showcase 2015 to run from 19 – 24 February 2015 (in parallel with London Fashion Week 20-24 February 2015). The International Fashion Showcase (IFS) is addressed to foreign embassies and cultural...

 

10 years ago

Vijimambo

SWAHILI FASHION WEEK 2014





Swahili fashion week mwaka huu itakusanya wabunifu 24 kutoka ndani na nje ya Tanzania watakaoonesha mitindo na ubunifu wao wenye kuendana na wakati utakaoshika soko la Afrika mashariki.
" Swahili Fashion week mwaka huu ina lengo la kuifikia jamii zaidi na kuendeleza vipaji katika tasnia ya mitindo na ubunifu wa mavazi. Lengo ni kuendeleza vipaji vya wabunifu wa ndani ili waweze kujulikana kimataifa zaidi". Amesema Washington Benbella meneja mradi wa Swahili fashion week.
Ikiwa ni mwaka wa 7...

 

11 years ago

Vijimambo

Perfect Gentleman by P.S.W. at DC Fashion Week.

Tanzanian Designer Peter Walden  showcased his menswear collection at DC Fashion Week's International Couture Collections on Sunday, September 28 at the Historical Society of Washington. 






















The Models were rocking malaika Mitindo Wear 4 Care new collection During DC Fashion Week.
 Perfect Gentleman by PSW designer - Peter Walden taking a final stroll at the end of launching his new collection "The Last Suit " 
 Perfect Gentleman by PSW designer - Peter Walden enterviewed by press.
Photo Credit by...

 

9 years ago

BBCSwahili

Maonyesho ya Swahili Fashion Week

Makala ya nane ya maonyesho ya mitindo ya mavazi ya Swahili Fashion Week yaliandaliwa wiki hii jijini Dar es Salaam, washiriki wakionyesha mitindo 'iliyotengenezewa Afrika'.

 

10 years ago

TheCitizen

Can fashion week designs be worn off the runway?

Last month, the US rapper and a husband to reality show star Kim Kardashian, Kanye West, released his new clothing collection Yeezy season 2.

 

10 years ago

Vijimambo

Ankara Fashion Week Highlights From Kali TV


Click here for more videos

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani