Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFYA YA PENGO TETE

Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo,  HALI ya kiafya ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, 70, aliyeadhimisha miaka 30 ya uaskofu hivi karibuni ni tete. Ilielezwa na baadhi ya watu walio karibu na kiongozi huyo kuwa kutokana na hali yake kuwa tete ilisababisha siku ya maadhimisho hayo Jumatano iliyopita ashindwe kushiriki katika maandamano ambayo yalishirikisha maaskofu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JACK PATRICK AFYA TETE GEREZANI

Shakoor Jongo na Musa Mateja UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ baada ya wiki iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake bila kufafanuliwa. Mbali na kuwa na afya tete, pia Jack anadaiwa kulalamikia haki za msingi za kibinadamu ambazo anazikosa mahabusu kwa kuishi maisha kama ya mtu aliye kifungoni. Akizungumza na Amani juzi...

 

9 years ago

Habarileo

Afya ya Kardinali Pengo yaimarika

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete anaendelea vizuri na anaweza kuruhusiwa wiki ijayo.

 

9 years ago

Habarileo

Naibu waziri afya amtembelea Pengo

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangala amemtembelea na kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

 

9 years ago

Mwananchi

JKCI: Bado tunachunguza afya ya Pengo

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema bado inaendelea na uchunguzi wa afya ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo aliyelazwa hivi karibuni Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

 

10 years ago

Mwananchi

Afya yangu kwa sasa inaimarika, niombeeni-Pengo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MUADHAMA KADINALI POLYCARP PENGO ANAYEFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA YAKE MUHIMBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo alielazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo January 1, 2016. Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake. PICHA NA IKULU

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda katika tete-a-tete na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

PG4A8336

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa  Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani, bungeni mjini Dodoma May 7, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Vijimambo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo 
  Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam.  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani