Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afya yangu kwa sasa inaimarika, niombeeni-Pengo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AFYA YA PENGO TETE

Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo,  HALI ya kiafya ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, 70, aliyeadhimisha miaka 30 ya uaskofu hivi karibuni ni tete. Ilielezwa na baadhi ya watu walio karibu na kiongozi huyo kuwa kutokana na hali yake kuwa tete ilisababisha siku ya maadhimisho hayo Jumatano iliyopita ashindwe kushiriki katika maandamano ambayo yalishirikisha maaskofu...

 

9 years ago

Habarileo

Afya ya Kardinali Pengo yaimarika

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete anaendelea vizuri na anaweza kuruhusiwa wiki ijayo.

 

9 years ago

Mwananchi

JKCI: Bado tunachunguza afya ya Pengo

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema bado inaendelea na uchunguzi wa afya ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo aliyelazwa hivi karibuni Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

 

9 years ago

Habarileo

Naibu waziri afya amtembelea Pengo

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangala amemtembelea na kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

 

11 years ago

Mwananchi

Messi: Sasa zamu yangu

Ndoto ya mshambuliaji Lionel Messi ni kuipa ubingwa wa dunia Argentina katika fainali zijazo za Kombe la Dunia nchini Brazil.

 

10 years ago

Raia Mwema

Sasa roho yangu imetulia

WAKATI wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005, Rais Jakaya Kikwete, alivuma sana na alipendwa na watu wen

Privatus Karugendo

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MUADHAMA KADINALI POLYCARP PENGO ANAYEFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA YAKE MUHIMBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo alielazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo January 1, 2016. Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake. PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Vijimambo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo 
  Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam.  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani