Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIR ASIA MIILI 37 IMEPATIKA MPAKA SASA



Vikosi vya uokoaji majini wakitafuta miili ya waliokuwa kwenye ndege iliyoanguka
Shirika la uokoaji nchini Indonesia limesema hivi sasa miili 37 imepatikana kutoka kwenye bahari ya Java ambapo ndege ya Air Asia iliangukia mwishoni mwa juma lililopita.
Helikopta na Meli za kijeshi zimekuwa zikifanya doria katika eneo la bahari hiyo ambapo vitu vinavyoelezwa kuwa mabaki ya ndege vimeonekana.hali ya hewa ya eneo hilo kwa sasa imetengemaa ingawa bado mikondo ya bahari ina nguvu.
Vikosi vya wapiga...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Air Asia:Miili 37 imepatikana mpaka sasa

Miili 37 ya Watu waliopoteza maisha katika ajali ya kuanguka kwa ndege ya Air Asia imepatikana katika bahari ya Java

 

10 years ago

StarTV

Upepo wakwamisha Uokoaji Air Asia

Waokoaji wamekuwa wakipambana na upepo mkali pamoja na mawimbi ya bahari gizani kuwakoa karibu abiria 300 ambao wamekwama ndani ya ferry moja ya Italia iliyokuwa imeshika moto kwenye bahari ya Adriatic. Maofisa nchini Italia wanasema kuwa oparesheni ya uokoaji itandelea. Hadi sasa watu 190 wamekolewa kutoka kwa ferry hiyo.

Shughuli ya kutafuta ndege ya AirAsia ambayo ilipotea jana Jumapili imerejelewa tena baada ya kusitishwa usiku.

Ndege za kijeshi kutoka indonesia na singapore...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkia wa ndege Air Asia wapatikana

Mkia wa Ndege ya Air Asia umepatikana katika Bahari ya Java

 

9 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.

Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa Uhispania sasa mpaka miaka 16

Serikali ya Uhispania imetangaza kuwa kuanzia leo Alhamisi raia wa chi hiyo watakubaliwa kufunga ndoa kisheria watakapotimiza umri wa miaka 16 badala ya miaka 14 ilivyokuwa awali

 

10 years ago

GPL

HALI ILIVYO MPAKA SASA NYUMBANI KWA ALLY CHOKI

Ndugu na majirani wa karibu wakiwa katika msiba wa mke wa Ali Choki, Shuwea Hamis ‘Mama Shuu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu na kuaga dunia usiku wa kuamkia leo. Mkurugenzi wa Extra Bongo akiwa na majonzi nyumbani kwake Toangoma, Kigamboni.…

 

10 years ago

Jamtz.Com

11 years ago

Dewji Blog

“Mpaka sasa maandamano mengi yamefanyika hapa nchini”- SACP Simon Sirro

DSC_0340

Kamishina Mwandamizi wa Jeshi la Polisi nchini (SACP) Simon Sirro akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wiki mbili kwa makamanda wa Jeshi hilo nchini, mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na UNDP yana lengo la kuwajengea uwezo makamanda jinsi ya kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani bila kuleta madhara makubwa kwa jamii. Kushoto ni Mtaalamu wa Uchaguzi kutoka UNDP, William Hogan  na kulia ni wakufunzi kutoka Uingereza, Adrian Barnes (kulia) na Alan Binks (wa pili kulia).

Na Mwandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani