Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel conducts family day at work


Airtel conducts family day at work
IPPmedia
Telecommunications Company, Airtel Tanzania has conducted a special programme in which children of their staff members visited Airtel headquarters to learn and spend a day with their parents at work. The event was attended by over 150 children between ...

IPPmedia

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AIRTEL FAMILY DAY 2014 YAFANA‏

 Wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Kema Mabango, Abdallah Gunda na Jackson Mmbando wakishiriki katika shindano la kukuna nazi wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana. Washindi wa shindano la kukuna nazi wakishow love. Kutoka (kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili,… ...

 

11 years ago

TheCitizen

Maintaining a healthy work- family balance

With paper chasing these days, balancing work and family seems to be hard. Especially if you have children, it’s very hard to meet their physical needs throughout the day. Some ideas on how you can balance the two.

 

10 years ago

Vijimambo

TAMCO FAMILY DAY- June 6, 2015



ASALAAM ALAYKUM WA RAHMATULLAH WA BARAKATUH
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington Metropolitan (TAMCO) Unapenda Kuwatangazia na Kuwaalika  WaTanzania Wote kwenye Shughuli ya TAMCO Family Day/Picnic Day.
Pia Tunapenda Kuwajulisha kutakuwa Fund Raising kwa Ajili ya Maandalizi ya Mfungo wa Ramadhan na Kuendeleza Shughuli Zetu Zingine za TAMCO.
Jumamosi ya Tarehe June 6, 2015 Kuanzia Saa Nane Mchana.
Address: Indian Spring Terrace Local Park9717 Lawndale Dr. Silver Spring MD 20901
Kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

TBL family Day na mnuso wa Babkubwa

 Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL,  kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.

 Wakishindana  katika mchezo wa kuvutana kamba

 Watoto wa familia ya TBL, WAKICHEZA KWENYE BWAWA.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakishindana kucheza mpira wa miguu ikiwa ni moja ya shamrashamra za hafla ya Siku ya Familia ya TBL, ...

 

9 years ago

Vijimambo

EWURA FAMILY DAY ILIVYOFANA DAR

 Watoto wa familia za wafanyakazi wa wakishindana kukimbiaMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Ewura kufurahi pamoja na familia zao (Ewura Family Day) kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es Salaam Wafanyakazi wa Ewura wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao Wakiwa katika mchezo wa Wavu Wakishindana kukimbia huku wakiwa kwenye magunia
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi...

 

10 years ago

Vijimambo

TICTS FAMILY DAY YANOGA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini - Tanzania International Container Terminal (Ticts), Paul Wallace (kulia) akimkabidhi zawadi kwa timu kapteni wa timu ya Operations ambao waliibuka kidedea dhidi ya Workshop kwa kunyakua makombe yote katika michezo mbali mbali iliyochezwa katika Bonanza la Siku ya Familia iliyofanyika mwishoni mwa wiki ndani ya Kiota cha Kunduchi Wet and Wild jijini Dar es Salaam. Lengo la Siku hiyo ilikuwa ni kuwakutanisha wafanyakazi na...

 

9 years ago

Dewji Blog

EWURA Family Day ilivyofana jijini Dar

 Watoto wa familia za wafanyakazi wa wakishindana kukimbiaMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Ewura kufurahi pamoja na familia zao (Ewura Family Day) kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es Salaam

 Wafanyakazi wa Ewura wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao.

 Wakiwa katika mchezo wa Wavu.

 Wakishindana kukimbia huku wakiwa kwenye magunia.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Felix...

 

9 years ago

Dewji Blog

CBA Bank Family Day yafana vilivyo

Wafanyakazi wakishiriki katika michezo ya viungo mapema wakati wa kuanza tamasha hilo la michezo na burudani kwa wanafamilia ya Benki ya CBA mjini Bagamoyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wafanyakazi wa benki hiyo katika tamasha la CBA Family Day iliyofanyika katika viwanja vya hoteli ya Ndoto Pole Pole,wilayani Bagamoyo mwishoni mwa wiki.

Wana CBA na familia zao katika mchezo wa kuvuta kamba.

14

Wafanyakazi wakifurahi na kuburdika na familia zao baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

TBL FAMILY DAY NA MNUSO WAO BABKUBWA

 Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL,  kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.  Wakishindana  katika mchezo wa kuvutana kamba.  Badhi ya viongozi wa TBL wakistarehe  huku wakibadishana mawazo.  Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Magese (kulia), akimkabidhi mtoto Said Shaban zawadi baada ya kuwa mmoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani