Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CBA Bank Family Day yafana vilivyo

Wafanyakazi wakishiriki katika michezo ya viungo mapema wakati wa kuanza tamasha hilo la michezo na burudani kwa wanafamilia ya Benki ya CBA mjini Bagamoyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wafanyakazi wa benki hiyo katika tamasha la CBA Family Day iliyofanyika katika viwanja vya hoteli ya Ndoto Pole Pole,wilayani Bagamoyo mwishoni mwa wiki.

Wana CBA na familia zao katika mchezo wa kuvuta kamba.

14

Wafanyakazi wakifurahi na kuburdika na familia zao baada ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AIRTEL FAMILY DAY 2014 YAFANA‏

 Wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Kema Mabango, Abdallah Gunda na Jackson Mmbando wakishiriki katika shindano la kukuna nazi wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana. Washindi wa shindano la kukuna nazi wakishow love. Kutoka (kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili,… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

UN Family Day ya kusheherekea miaka 69 ya Umoja wa Mataifa yafana jijini Dar

DSC_0176

Pichani juu na chini ni baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na watoto wa wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walipojumuika pamoja mwishoni mwa juma kushiriki michezo mbalimbali kwenye UN Family Day kusheherekea maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanishwa kwake.

DSC_0388

DSC_0184

Watoto wakifurahia kupakwa rangi usoni katika bonanza la UN Family Day ikiwa ni shamra shamra ya maadhimisho ya kusheherekea miaka 69 ya Umoja wa Mataifa...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya CBA (Commercial Bank of Africa (Tanzania) yatoa msaada wa Matanki ya Maji kwa Hospitali za Umma jijini Dar es salaam.

Benki ya Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania imetoa msaada wa matanki nane ya maji yasiyo na mkono kwa hospitali nne zilizochaguliwa jijini Dar es salaam kukabiliana na mahitaji yanayoongezeka ya kusafisha mikono ambayo ni hatua muhimu katika kupambana na COVID-19.

Akikabidhi mchango huo Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA, Gift Shoko amesema msaada huo ni sehemu ya hatua zilizochukuliwa na CBA kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na kusambaa kwa COVID-19 nchini Tanzania.

"Commercial...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE YA FUNGA MWAKA KWA WAFANYAKAZI WA AZANIA BANK YAFANA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank,Charles Singili (katikati) akicheza mpira na wafanyakazi wenzake kwenye sherehe ya kufunga mwaka iliyofanyika hivi karibuni,Kijiji Beach jijini Dar
 Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Azania Bw. Rukwaro Senkoro akizungumza na vyombo vya habari kwenye maadhimisho ya kufunga mwaka Benki ya Azania.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI



 

11 years ago

Michuzi

maadhimisho ya Karume day yafana mjini Mererani

Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Manyara, Christopher Ole Sendeka, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, akishikilia bendera ya Taifa, wakati akipokea mbio za pikipiki kwenye maadhimisho ya Karume Day yaliyofanyika jana Mji mdogo wa Mirerani. Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Manyara, Christopher Ole Sendeka, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, akivishwa skafu kwenye maadhimisho ya Karume Day yaliyofanyika juzi Mji mdogo wa Mirerani. Kamanda wa Umoja wa...

 

11 years ago

Michuzi

SPORTS XTRA DAY YAFANA JIJINI ARUSHA

  Zenith Media Yatwaa Kombe la Sports Extra Day Bonanza kwa Jiji la Arusha. Timu ya Banana investiments ikisali kabla ya kuanza kwa mchezo. Huyu nae alikuwa aki #BRAZUCA katika mchezo wa Sports Xtra Day Jijini Arusha. Mbwiga wa Mbwiguke the Captain wa Sports Xtra akiwapanga vijana wake. Kwa habari kamili na  picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA MAGEREZA DAY NCHINI ZAMBIA YAFANA

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania watatu kutoka kulia Akiwa katika Picha ya pamoja Mara baada ya chakula cha Jioni kilichoandaliwa kwa heshima ya kutambua na kuthamini mchango wa Rais na Mwanzilishi wa Taasisi ya Kimataifa inayoshughulika na masuala ya Wafungwa inayojulikana kwa jina la Prisons Fellowship International bwana Gordon Loux wa pili kutoka kulia.Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Radisson Blu Mjini Lusaka tarehe 25 Septemba,2014 siku moja Kabla ya Maadhimisho ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMCO FAMILY DAY- June 6, 2015



ASALAAM ALAYKUM WA RAHMATULLAH WA BARAKATUH
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington Metropolitan (TAMCO) Unapenda Kuwatangazia na Kuwaalika  WaTanzania Wote kwenye Shughuli ya TAMCO Family Day/Picnic Day.
Pia Tunapenda Kuwajulisha kutakuwa Fund Raising kwa Ajili ya Maandalizi ya Mfungo wa Ramadhan na Kuendeleza Shughuli Zetu Zingine za TAMCO.
Jumamosi ya Tarehe June 6, 2015 Kuanzia Saa Nane Mchana.
Address: Indian Spring Terrace Local Park9717 Lawndale Dr. Silver Spring MD 20901
Kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

EWURA FAMILY DAY ILIVYOFANA DAR

 Watoto wa familia za wafanyakazi wa wakishindana kukimbiaMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Ewura kufurahi pamoja na familia zao (Ewura Family Day) kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es Salaam Wafanyakazi wa Ewura wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao Wakiwa katika mchezo wa Wavu Wakishindana kukimbia huku wakiwa kwenye magunia
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani