Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAADHIMISHO YA MAGEREZA DAY NCHINI ZAMBIA YAFANA

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania watatu kutoka kulia Akiwa katika Picha ya pamoja Mara baada ya chakula cha Jioni kilichoandaliwa kwa heshima ya kutambua na kuthamini mchango wa Rais na Mwanzilishi wa Taasisi ya Kimataifa inayoshughulika na masuala ya Wafungwa inayojulikana kwa jina la Prisons Fellowship International bwana Gordon Loux wa pili kutoka kulia.Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Radisson Blu Mjini Lusaka tarehe 25 Septemba,2014 siku moja Kabla ya Maadhimisho ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI TANZANIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MAGEREZA DAY NCHINI ZAMBIA YAFANA.

 Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Tanzania, John Casmir Minja(wa tatu kulia) akisalimiana na Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Magereza Nchini  Zambia, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini Zambia, Mhe.  Nickson Chilangwa(wa pili kulia) ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Hamunyela. Maadhimisho hayo yamefanyika Septemba 26, 2014 katika Viwanja Vya Chuo Cha Maafisa Magereza Mjini Kabwe, Zambia. Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir...

 

11 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA NCHINI YAFANA CHUO CHA UKONGA DAR!

Askari akiwa kabeba tofali linalovunjwa kwa nyundo huku chini kukiwa na kisu. Zoezi la kutoa heshima kwa mgeni rasmi likiendelea. Askari…

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA MAGEREZA NCHINI ZAMBIA ATEMBELEA MAGEREZA TANZANIA

 Kamishna wa Magereza nchini Zambia  Percy Chato (mwenye suti) akipokea salaam ya heshima kutoka kwa Paredi maalum (halipo pichani) lililoandaliwa maalum kwa jairi yake katika uwanja wa paredi wa Chuo Cha Maafisa wa Magereza Ukonga.Nyuma yake ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza nchini Dkt Juma Ali Malewa na mwenye nguo za kijani ni Kaimu Mkuu wa Chuo  Kamishna Msaidizi wa Magereza Erasmus Kundi.  Kamishna wa Magereza nchini Zambia  Percy Chato (mwenye suti) akikagua paredi...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA NCHINI KUFANYIKA CHUO CHA MAAFISA WA MAGEREZA UKONGA JIJINI, DAR ES SALAAM

Jeshi la Magereza litafanya Maadhimisho ya Siku ya Magereza Nchini tarehe 20 Juni, 2014 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa wa Magereza Ukonga, Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(MB).

Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa leo Juni 18, 2014 na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja Maadhimisho haya ni ya pili kufanyika tangu Jeshi la Magereza Tanzania lianzishwe rasmi mwaka...

 

11 years ago

Michuzi

maadhimisho ya Karume day yafana mjini Mererani

Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Manyara, Christopher Ole Sendeka, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, akishikilia bendera ya Taifa, wakati akipokea mbio za pikipiki kwenye maadhimisho ya Karume Day yaliyofanyika jana Mji mdogo wa Mirerani. Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Manyara, Christopher Ole Sendeka, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, akivishwa skafu kwenye maadhimisho ya Karume Day yaliyofanyika juzi Mji mdogo wa Mirerani. Kamanda wa Umoja wa...

 

11 years ago

GPL

NGUZA VIKING NA MWANAE PAPII KOCHA WATUMBUIZA KWENYE MAADHIMISHO YA MAGEREZA DAY

Msanii Nguza Viking (kulia) na Mwanae Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha ambao wanatumikia Kifungo chao kwenye Gereza la Ukonga jijini Dar,wakiwa na Bendi ya Wafungwa wakiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani,Wanamuziki hao walitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga. ...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI TANZANIA BW.JOHN CASMIR MINJA AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMALIZA MAFUNZO YA UASKARI MAGEREZA NCHINI UGANDA

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania Bw. John .C. Minja wakwanza kushoto akiwaongoza Wakuu wa Magereza Wanachama ACSA (Nchi Wanachama wanaounda Taasisi zinazohusika na Urekebishaji/Magereza )Barani Afrika katika Maadhimisho ya kumaliza Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza Nchini Uganda,sherehe zilizofanyika leo tarehe 9 April,2015 katika Viwanja vya Kololo Kampala Uganda.Wakwanza kulia ni Mkuu wa Magereza Nchini Angola.Maadhimisho hayo yalitanguliwa na Kikao cha siku moja cha Wakuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani